kwa hisani ya jambovideo nawaletea dogo anayecheza na vinyonga laivu. hebu bofya hapo chini upate maneno
vile vile naomba niwashukuru wadau karibu dunia nzima mnaotembelea blogu yenu hii bila kuchoka karibu kila siku na wengine kutumia muda wenu ghali kutoa maoni. hakika, ingawa ni kazi ngumu ya kutafuta cha kuweka picha kila kukicha kadhalika na kupitia kila oni lililowekwa, lakini nafarijika sana na kupata moyo wa kuendeleza libeneke kwa taff mnayonipa kama ambavyo takwimu zinaonekana kwa kubonyeza hapa ambapo kwa joji kichaka na ukerewe mnaongoza kwa idadi. asanteni wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo mtoto ni kiboko. Inafaa aingie kwenye Guiness Book of Records. Hiyo ni sanaa ya aina yake.
    Inafaa, hata hivyo, wataalamu wa viumbe hai watueleze ikiwa hakuna madhara yatakayompata mtoto huyo kwa kujishughulisha na wadudu hao, hasa pale anapowatia mdomoni.
    Inahitaji ujasiri mkubwa kufanya anayofanya kijana huyo.

    ReplyDelete
  2. hivi huyu anayekula vinyonga ndie michuzi?

    ReplyDelete
  3. hahhahah duu we anon hapo juuu we kiboko yaani hmjui michuzi au unautani na michuzi,michuzi sio mtaalamu wa vinyonga bana yeye kazi yake nikukuuliza wewe SMILEEEEEEEEE THEN FOTOO MARA TUNAKUONA HAPA

    ReplyDelete
  4. nahisi huyu dogo akili zake zimepelea

    ReplyDelete
  5. kule australia kuna jamaa alikuwaga anacheza na mamba, kule mwanza kuna jamaa wanachezeaga nyoka, hii yote ni sanaa tu burudani na huenda ikawa ajira ya maana

    ReplyDelete
  6. Hongera Michuzi, kwenye orodha ya nchi kuna nchi " Satellite Provider" . naomba nipe uelekeo nkakatembelee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...