Home
Unlabelled
micho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namwona mzee wa kujitundika viatu begani na gitaa mkononi taifa kwa nyuma hapo anatoka kumpokea kocha.. Ndio wakereketwa hao.
ReplyDeleteahaa ahaaa natumaini mzee mzima micho amekuja na dawa ya kuwatupa nje esperance ya tunisia baada ya kuwaumiza petro atletico ya angola wanofuata ni hao watunisia pamoja na kuwa tumepangwa kuchezeshwa na marefa kutoka misri fitina zote lazima tuziruke.
ReplyDeleteYanga aluta continua
natumaini kaja na dawa ya kuwaondoa esperance ya tunisia na hivi mechi imepangwa kuchezeshwa na wamisri kazi ipo lakini najua fitina zote tutaziruka.
ReplyDeleteduuh huyu comandoo bado yupo tu? nakumbuka mara ya mwisho nilikuwa namuona pale ofisini kwa marehemu Gulamali akisubiri kitu kidogo.nakumbuka enzi zile, kama ukitoa shs 1000/= anakupitisha hadi geti kuuu na ukiwahi ukatoa 2000/= unapanda gari la wachezaji na kuingia nao uwanjani.
ReplyDeleteHabari brother Michu, sasa huyo jamaa nyuma ya Micho ndo nani? au ndo makomandoo wa yanga? Duuuu Afya hovyoo maana jamaa huyo angekuwa hapa mtoni anakula fresh ni bonge la basketball player lakini kauzu wa kariakoo wanaongeza minyoo tuu na kunyong'onyeza jamii, Jamaaa anaweza kuwa na vihela hela lakini pamoja na hayo ni chokaa mbaya na ndo maana wanyamwezi tukishuka hapo Bongo wachumba wanatung'ang'ania.
ReplyDeletemchizi kakaa kisanii sanii inabidi tumpige background check huyu asije tuliza huko mbele tukistukia kafoji resume ya futboli
ReplyDeletekimoka cha komandoo kimechoka ile mbaya na suruali yake ya marinda haijapigwa pasi kama miezi mitatu...asaalaleh mwanangu bongo hiyooo ndio maana ukishuka hapo Airport unakutana na hewa nzito sana
ReplyDelete