Home
Unlabelled
wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asipotupitisha Tunampiga Chini Kama Ulaya Tu
ReplyDeletehao wadau ukienda na gamba lako jeusi wanaku-mind ka vile umeliiba kutoka kwao, noma
ReplyDeleteNawaomba ili timu yetu ya TAIFA Iwe zuri kwanza naomba yamalizwe matatizo ya migogoro ya vilabu vyetu bongo, kwani matatizo hayo kwa fikira zangu ndiyo yanayo didimiza soka la bongo kwa kiasi kikubwa, na wanao leta migogoro hiyo ni wale wakaa milangoni (getini) wakati timu kubwa (Simba na Yanga) zinapo cheza kwa kuwa wana masilahi yao na ni wapambe wa viongozi vulanivulani ambao wao wanawataka waendelee kuongoza timu hata kama hawana sifa za uongozi ilimradi wao wapate msosi, kwa fikira zangu hao ndio wanao didimiza soka la Bongo, ukizingatia kwamba timu nzima ya Taifa inajengwa timu hizo mbili, na hili swala ni la nyie akina Michuzi (waandishi wa habari) kulipiga vita na kuwaelimisha Wabongo. Natoa mfano wa Mikopo ya Jk, inatangwazwa kwenye magazeti tena bila aibu kuwa mikopo na mapesa ya JK ipo nnje nje bila ya kufafanua sifa za mkopaji, mkulima atakuja tu kwenye benki anataka kukopa bila ya vielelezo utamwambia nini wakati gazeti limeandika mikopo nnje nje!!je hizo pesa anatengeneza JK?. kwa kiasi kikubwa waandishi wa bongo mnachochea sana matatizo kwa kuandika habari ili mradi muuze gazeti, Wandishi elimishe wananchi wajue haki zao, bila ya kuelimiswa hakuna kitu kina fanyika, mchezaji anacheza timu taifa anakuwa hana ari na moyo kama akiwa Simba au yanga kwa kuwa fikira zake ziko huko kwa kupewa vibia viwili vitatu na hao wakaa getini, Soka la bongo.Tanzania ni Taifa kubwa Afrika ajabu ktk michezo hatupo popote, angalia mashindano ya riadha mkimbiaji mmoja viongozi kumi wanao andamana naye, sasa tunajenga tunabomoa?
ReplyDeleteHuyo Kocha sasa hivi utaowasikia huyu kaja kutalii sio kocha kaka,ZENGWE la bongo linajulikana wadau tulieni mtasikia tu bila kokolo
ReplyDelete