hakika wahandisi wa miundombinu bongo ni wabunifu sana. hapa ni tmk karibu na soko la stirio. soma prakadi la ufunguzi wake hapo chini...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Pamoja na kwamba si muhandisi, nafikiri aliyeamua nguzo ya umeme ipite katikati ya barabara ni kichaa au alipata uhandisi kwa kudesa. Pambafu kabisa

    ReplyDelete
  2. shenzi kabisa! yaani nataka hata kutapika, sasa ndo nini sasa? uhandisi au matope? mtu kashatia ze' bingwa zake usiku na landrova lake atauona kweli huo msitimu? ndio maana wazungu hawatupendi kwa sababu ya ujinga wetu! tena inaonekana barabara imeanza ndio mti ukafuatia, sasa si pumba hizo! shenzi taipu!

    ReplyDelete
  3. Wenye lugha yao wanasema "This is an accident waiting to happen..!" Waweza kwenda shule lakini lakini usielimike. Huu ni mfano hai wa hilo. Nasikia Hayati Bob Marley alisema afadhali hakwenda shule, anahisi angeenda shule angekuwa bonge la fala... Inawezekana alikuwa na point!

    ReplyDelete
  4. Kwani hawa watu wa barabara hawakupima from the begining kuwa barabara itapita hapa? na je TANESCO walipelekewa taarifa kweli kama hapo barabara inatakiwa ipite? kama walikuwa na taarifa basi wao ndio PUMBAFU kabisa, maana huo msitimu utagongwa alafu mpaka waje kurepair it will take them 2 months if not 2 years. Bongo bado saaaaaaana

    ReplyDelete
  5. Heeh,sijawahi kuona hii tangu nizaliwe hakika. Ni kitu kizuri kwa kuwa walifanikiwa kutengeneza bila kuleta madhara kwa mafundi hali kadhalika watumiaji wa barabara.
    Lakini hakuna kizuri kisicho na ubaya wake. Mie nafikiri ingekuwa busara sana kama wangeweka ukingo au kuihamisha hiyo nguzo.Shule gani hizi watu wanazoenda?
    Watu wanalilia kazi wapewe Wazawa,sawa, lakini wakati mwingine hawaridhishi kwenye kazi zao. Watu wanafikiri Serikali ina hela za kupoteza kiasi hicho? Jamani hebu tuwe makini sana tunapofanya kazi zetu ili tuzidi kuheshimika na kukubalika. Sasa huyo akinyimwa "Tenda" siku nyngine nani alaumiwe?
    Pia nawageukia Viongozi wa hilo eneo. Hivi wakati barabara hiyo inatengenezwa hawakuwepo? Kama walikuwepo,hawakuona? Kwanini watu hawabadiliki? Kama umepewa dhamana ya kuwa kiongozi ni wazi umeaminiwa. Sasa inakuwaje uzibe mdomo na kufurahia vitu visivyofaa? Hebu acheni mambo ya kubabaisha jamani...Hizo ni pesa za kodi za wananchi basi na wapewe haki zao kwa kusimamia vema shughuli zote za maendeleo kwa kuzikubali zile zinazofaa tu. Hizo pesa si bora zingenunuliwa dawa za Mahospitalini? Hivi hamuyaoni yote hayo?
    Nimechukia sana kwa kweli. Hebu wahusika walifanyie kazi haraka kwa kuitoa hiyo nguzo barabarani kabla haijaleta madhara.
    Na kama ningekuwa ni mimi Walahi waliohusika wote wangetumia gharama zao kuitoa hiyo nguzo na kutengeneza tena hicho kipande cha barabara. Kumbe ndio maana watu wanatukana!!!!!!!!
    Hebu waache mambo yao ya kubabaisha yasiyo na maana. Tumechoka kuona na kusikia ajali kila siku!!!!!!! Ala.

    ReplyDelete
  6. Eti ajali haina kinga!....,Mtu akifa hapo eti ni mapenzi ya mungu.Pumbavu, mapenzi ya mungu au huyo kichaa anayejiita mhandisi

    ReplyDelete
  7. WAWEKE JAPO REFLECTORS BASI KWENYE HIYO NGUZO, AU MPAKA ITOKEE AJALI?..MAANA BARABARA YENYEWE HIYO MCHANGA HAUISHI, UKISEREREKA UNAVAMIA HILO GUZO, MATOKEO YAKE MTAA MZIMA UTAKOSA UMEME, BARABARA YOTEN ITAFINGWA, NA DEREVA NA ABIRIA WAKE WATAKUWA ROASTED ALIVE!!! Mwenyezi Mungu apitishilie mbali!!!!!!

    ReplyDelete
  8. hao TANESCO ndio wajinga hapo maana ndio waliopitisha huo umeme sio mhandisi aliyejenga barabara...hapo ningekuwepo ningeenda moja kwa moja kwa mkuu wa TANESCO aondoe in 24 hrs la sivyo ningewashtaki haraka sana ...wananchi changamkeni maana nyie ndio mtaumia

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  10. Issa Kama unaweza kutoa Jina la Kampuni iliyofanya kazi hii inaweza kusaidi kitu kama ichi kisuridie tena.kwani hii sio ujenzi bora na sio ubunifu kabisa na siami hii ni only solution they comeup with all options.

    ReplyDelete
  11. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...