Home
Unlabelled
ngwasuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
..ee bwana hiyo sakafu mbona kama zizi la ng'ombe...usafi na mandhari nzuri sehemu ya starehe ni muhimu sana ndugu wahusika na mjitahidi kuondoa hicho kichaka ili watu wafaidi pesa yao waliyolipa
ReplyDeletemichuzi njaa ikikolea hakuna jua wala mvua wewe ili mradi tumbo lipate kitu sasa hiyo sio bidii ni chicha limekolea nazi(njaa immepamba moto)
ReplyDeleteHawa ndio wazee wa mujini, wazee wa ngwasuma, wazee wa pamba kali, wazee wa ......
ReplyDeleteTomboka mwanawane!!
Poli'z [Kaka]
jamaa wa kati ashalipiwa siyo?
ReplyDeleteWazee wa njiwa njiwaa Njiwa!!!1 eheehehhehh!! eheeehee!!mimi binafsi nimewakubali hao jamaa ni kiboko band zote ni makelele tu!!
ReplyDeleteHe! Yethu,
ReplyDeleteMbona jamaa wa tatu toka kulia kavaa buti za kike
"Nilikupenda Anna yapata miaka mitano/ndugu na wazazi walishakukubali weewe/Sasa umeniacha kisiwani mutumbwi kasia hakuna/nitaweza vipi kukufwata huko ulikooo/
ReplyDeleteHao watu aibuu jamani. Ya'll need to see wazee wa Ngwasuma live. Ni soo.
Can u imagine how good these guys could have been kama Papi Kocha na Nguza machine wangewa huru. Its scary.