Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. ..ee bwana hiyo sakafu mbona kama zizi la ng'ombe...usafi na mandhari nzuri sehemu ya starehe ni muhimu sana ndugu wahusika na mjitahidi kuondoa hicho kichaka ili watu wafaidi pesa yao waliyolipa

    ReplyDelete
  2. michuzi njaa ikikolea hakuna jua wala mvua wewe ili mradi tumbo lipate kitu sasa hiyo sio bidii ni chicha limekolea nazi(njaa immepamba moto)

    ReplyDelete
  3. Hawa ndio wazee wa mujini, wazee wa ngwasuma, wazee wa pamba kali, wazee wa ......

    Tomboka mwanawane!!

    Poli'z [Kaka]

    ReplyDelete
  4. jamaa wa kati ashalipiwa siyo?

    ReplyDelete
  5. Wazee wa njiwa njiwaa Njiwa!!!1 eheehehhehh!! eheeehee!!mimi binafsi nimewakubali hao jamaa ni kiboko band zote ni makelele tu!!

    ReplyDelete
  6. He! Yethu,
    Mbona jamaa wa tatu toka kulia kavaa buti za kike

    ReplyDelete
  7. "Nilikupenda Anna yapata miaka mitano/ndugu na wazazi walishakukubali weewe/Sasa umeniacha kisiwani mutumbwi kasia hakuna/nitaweza vipi kukufwata huko ulikooo/

    Hao watu aibuu jamani. Ya'll need to see wazee wa Ngwasuma live. Ni soo.

    Can u imagine how good these guys could have been kama Papi Kocha na Nguza machine wangewa huru. Its scary.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...