wanaume halisi wa tmk kwenye basi lao la tua

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Duh....Michuzi hao jamaa wanatisha ndugu yangu. Siyo kisanii bali kwa mambo mengine.
    Hawa wasanii wa muziki wa kileo, wanafanana kabisa na wale wa ngoma ya mchiriku. Sisemi mengi nikakuharibia BLOG yako lakini angalia na promotion yako ndugu yangu...hatariiiiiiii
    Ndo manaa vit....haviishi bongo kwani kuna wasanii wa aina nyingi ndugu yangu. Angalia fani yako Michuzi utakuja juta.

    ReplyDelete
  2. Si mindumu humo ndani

    ReplyDelete
  3. Hilo basi liisimamishwa na kupekuliwa mbona wote wataishia lupango.Inaonekana kwamba bange kwa wingi sana hapo

    ReplyDelete
  4. Sir Issa Huku kunapriskripshen ya bangi...sijui kama Bongo inaruhusiwa kaka...

    ReplyDelete
  5. Sasa hii sio nzuri, mabasi haya hayafai kwa wasanii wetu. inabidi wapewe mabasi yaliyokwenda shule. Air con, sehemu ya kulala, yaani kama private jet zilivyo. Hii haipendezi, wasanii wamebanana namna hii, huyo promota hafai.

    ReplyDelete
  6. Sasa kuzunguuka mikoa yote 12 wanne wanne kama manzese - kariakoo si hatari hiyo. Yaani humo haingii mbu lazima afe kwa moshi wa kubwa!!, Du kazi ipo

    ReplyDelete
  7. Sir Issa Wewe Mwandishi wa habari safi sana...halafu unajua kweli kuchukua picha. ILE TOVUTI YA POLISI I THINK YA MARA YA PILI ILIKUWA SAHIHI....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...