watoto wakila pasaka mtaa wa bantu minnesota. bofya hapo chini upate nyimbo za injili - pamoja na hotuba ya jk ikiwa kama zawadi ya jumattu ya pasaka toka kwa mdau mmoja hivi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hapa huyo muheshimiwa wetu anamaanisha nini kutoa mfano wa miji ya Uganda, hiyo ilikuwa wapi? au alikuwa anawahutubia kina nani. John-Mwanza

    ReplyDelete
  2. michuzi, u don't know what u have done, yani nimefurahi kumsikia munishi, napenda sana nyimbo zake, ila mambo yake tu ndo yananibore kwani siku hizi yeye na mambo ya siasa na malumbano ya kisiasa ndo mwenyewe,

    haya nakutakia kazi njema,

    ReplyDelete
  3. Michuzi, huyu jamaa anaitwa Munishi usiposti kabisa vitu vyake hapa, ni mchonganishi hatari sana. hafai hata kidogo anaweza kuleta maafa makubwa kwa nchi yetu. Anapenda kujitafutia umaarufu na umaarufu huo asiupatie hapa tafadhali!!!

    ReplyDelete
  4. Huyu rais wetu vipi tena mbona anatakaletea za kuleta?Kwa kweli sijamwelewa Kipanya tia katuni kuhusu hiyo speech.

    ReplyDelete
  5. Munishi siyo mtu mzuri hata kidogo, hasa kwa nchi. Siku zote haitakii mema Tanzania. Lakini pamoja na hiyo, naona raisi wetu anahitaji WASHAURI WAZURI!! Maneno mengine yanaweza kutengenza uadui bila sababu ya msingi.

    ReplyDelete
  6. Munishi siyo mtu mzuri hata kidogo, hasa kwa nchi. Siku zote haitakii mema Tanzania. Lakini pamoja na hiyo, naona raisi wetu anahitaji WASHAURI WAZURI!! Maneno mengine yanaweza kutengenza uadui bila sababu ya msingi.

    ReplyDelete
  7. Munishi siyo mtu mzuri hata kidogo, hasa kwa nchi.
    Siku zote haitakii mema Tanzania. Lakini pamoja na
    hiyo, naona raisi wetu anahitaji WASHAURI WAZURI!!
    Maneno mengine yanaweza kutengenza uadui bila sababu
    ya msingi.

    ReplyDelete
  8. Siwezi ku judge rais kutoka kwa speech hiyo, maana aloposti katunyima context, speech imeanzi kati kati, rais alikuwa anafafanua jambo katika kutembea ukiwa na cheo fulani jeshini, akaanzia vijiji vya tanzania akendelea hadi vya uganda, andeweza endelea akataja darfour hadi cairo. Sasa ujumbe wa kuvamia mbona sijausikia? Ndo mambo ya kusoma misahafu mstari mmoja badala ya sura, maana unaweza usiipate inavyotakikana.

    ReplyDelete
  9. Nini maana ya kuweka speech half half? Hatuelewi alikua anaongea nini ndio akaanza hapo na pia ni topic gani ilimfanya raisi azungumsie hayo.

    Huyo aliyoweka hapo kama mlokole vile. Sorry but walokole wamezidi kwa kuchukua msari mmoja tu kwenye bible na kusimama nao. Hawajali mwazo wa page unasema nini na ndio maana ukaja huo msitari na wala mwisho wake nini nini....waking'ang'ania tu na msitari mmoja...kama unataka watu waelewe kitu do not crop anything....


    Sorry Michuzi but I don't get why you link us to see this edited speech

    ReplyDelete
  10. Munishi is a stupid Idiot, that's all i have to say, limbukeni halafu jamaa ni terrorist, usimuintertain kabisa huyo bwana michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...