undava kwenye shoo za sir natrure hudhibitiwa vilivyo na mabaunsa kibao walioko eneo la tukio

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michu,tafadhali tuwekee tamasha la pasaka lililofanyika diamond,tuna hamu ya kuona waimbaji wa injili.
    naomba kama unajua web yoyote inayopiga nyimbo za injili.

    ReplyDelete
  2. Betty nimeamua kukujibu "kiu" yako Mpendwa. Labda utarudi kwenye link hii. Gospel masaa 24 ni hapa (ila nasikia ni kwa sisi wa ughaibuni tu, ukiwa nyumabi link inagoma, not sure....

    http://www.live365.com/stations/amefufuka

    ReplyDelete
  3. Mpendwa asante sana na mungu akubariki na mimi niko huku ughaibuni naona itanifaa sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...