kunguru wenye tai nyeupe ni wengi jijini hapa tofauti na dar ambako wamewakimbia wenzao wasio na tai shingoni wanaosemekana wanatoka unguja na ni wababe na waharibifu kinoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. popo bao hao msidhani ni kunguru jiulizeni kwa nini ni waharibifu na wababe kichizi? mtajiju mkidhanini kunguru hao.langu jicho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...