Home
Unlabelled
canada
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteHuyu anayejiita Rama hasemi ukweli kuhusu hiyo picha.Kwa sasa hivi Toronto/Canada hakuna snow na kuna joto zaidi ya la Dar.
Kaka hujapiga picha mpya tangu kiwinter kiingie mitini? Mbona ni karibu mwezi wa tatu sasa tangu winter iage rasmi. Ingia kazini lete vitu vya Summer bwana!
ReplyDeleteLa ingekuwa kwetu hiyo baridi watu wangezaliana kama kunguni.Ingekuwa ni kukumbatiana tu.Hakuna kuachia kifua cha mtu hadi kieleweke.
ReplyDeleteKwa nini mtu ufe kwa baridi wakati blanketi chapa Mtu liko karibu.
Nashangaa Canada Baridi halafu eti watu hawazaliani sana.Nenda sehemu zenye baridi Tanzania uone watu wanavyozaliana kwa wingi.Mikoa yenye baridi ndiyo inaongoza kwa kuzaliana hawasikii cha uzazi wa majira wala nini!
Heri ufe kifuani kwa mtu kuliko ufe kwa baridi.
Hiyo baridi ihamie kwetu ione!