emmnuel mwandosya akiwa n wahitimu wenzie na chini akiwa na wazazi wake profesa na mama mwandosya baada ya kugradueti digirii ya biashara na uchumi majuzi chuo kikuuu cha idaho univesti

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2007

    Jamaa ana bahati sana, kugraduates ukiwa na wazazi wako wote wawili ni jambo la kumuomba mungu kwa bongo. Sasa inabidi jamaa aanze safari ya kufuata nyayo za dingi, yaani one day aitwe professor na yeye, sio kuridhika na atge aliyoifikia. Natumai huyu hawezi jiingiza kwenye politics akifanya hivyo tu ajue kufikia uproff ni ndoto.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2007

    Kama utaamua kuingia kwenye politics au la hilo ni juu yako! Cha muhimu uendeleze jitihada kama hizo kwa manufaa yako maana watoto wengi wa wakubwa wameishia kuwa mazuzu kwa kufikiri wao ni part and parcel of their further's success na kwamba hakuna effort inayohitajika kutoka upande wao wenyewe kama indviduals.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2007

    Hilo mbona easy... Anaingia hapo Western Pacific na kubandua li PhD la miezi miwili tu na kuwa DR. SIASA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2007

    Oh! my God, Emma??, umekuwa jibaba hivi??. Congratulations- Sekela's friend.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 24, 2007

    Imma uko juu kijana. Ni long T toka enzi za Mzizima

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 24, 2007

    Pamoja na kwamba ulikuwa unasoma Kijijini Idaho aka Potato State, lakini elimu ni popote ndugu yangu. Hongera Sana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 24, 2007

    Jamani huyo mtu aliyevaa kandambili kwenye picha vp?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 24, 2007

    Emma, Congratulations! SteveD.(Maxi's friend)

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 24, 2007

    decent family,

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 25, 2007

    Hongera sana kijana. Atleast ulikuwa na mzazi mwenye uwezo kukupiga support mpaka Idaho. Again hongera sana na tafadhali sana usimsahau MUNGU!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 25, 2007

    Anon. wa June 24, 2007 8:06:00 PM EAT acha ushamba na ulimbukeni. Kuna tatizo gani kuvaa kanadambili? Mwenzako amepata degree wewe umepata nini? Kama huna la kusema usiseme kitu unaonyesha ujuha wako tu.

    ReplyDelete
  12. Ehhhhh Tangia muhimbili primary. Umekuwa Mkubwa! Hongera sana Classmate!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 25, 2007

    Hongera sana Emma..Kama kawaida yake Mzee Mwandosya huwa anakwenda kuhakikisha kama kweli Gamba limepatikana, baada ya hapo haendi ktk pati ya graduation wala nini, yeye akishaliona Gamba kama ni genuine basi, anaridhika. Max nadhani u get what I mean...LOL.

    NB> Watu kibao huwa wanavizia graduations kama hizi,wanatafuta majoho, wanavaa, wanajichanganya na wanafunzi wanaograduate na kupiga picha, then wanazituma kwa wazazi, wazazi wanaamini kuwa mtoto wao keshagraduate. Noma jamani

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 25, 2007

    Ima, Hongera!
    Nakukumbuka long time tulikuwa majirani ada estate, ulikuwa kiduchuuuuu, basi tulikuwa tunakujaga nyumbani kwenu kuangalia video, wakati ule wa "Video", siku moja tulikuja basi wewe ulikuwa unaangalia vikatuni ikabidi tukusubiri umalize kuangalie vikatuni vyako kwanza.
    Mama yako poa sana, na shingo lake la michirizi, alikuwa anapiga stori na sisi japo tulikuwa vijidada vidogo, Nikija bongo lazima nikampe hi,
    She is a very Classy Lady.
    Hongera,
    Ms Mwa....

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 26, 2007

    Ndaga fijo Malafyale Emma.Ubobile fijo, ndaga, ndaga mwe!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 26, 2007

    hongera sana prof na mama kwakusomesha watoto.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 26, 2007

    Hongera sana mshikaji nasikia umepata pia na msaidizi wa mambo ya nyumbani!!!!!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 27, 2007

    Aisee Nawashukuru sana kwa pongezi zote nilizosoma humu, asante Michuzi kwa kuweka picha kwenye blog yako ( I was surprised to see the photos on here!), I wish all of you all the best, and to all who havent finished yet just work hard , it will pay off in the end. Once again, thanks!
    ps- Michuzi, keep up the fantastic work you do.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...