fleti za lushoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2007

    My gosh, it just feels so natural and comfortable. luvin' it!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2007

    Muhidin,

    Unaweza kukuta hilo flet limegharimu kufa kwa kiwanda au shirika zima la umma, mkataba fulani kiserikali, au kuingiza vyakula vibovu au madawa feki.

    Halafu mheshimiwa ofisa badala ya kushitakiwa, kutumikia kifungo, na kumfilisi wanamuhamishia kitengo, Aluta kontinua.

    Zaidi ya hivyo anakuwa mfano wa kuigwa "...Shekichwa kaweza jenga tena ghorofa na katia na umeme, maji na choo humohumo ndani! Mwenyewe yuko Daslamu akija huku Kiismasi ana mahala pake pa kufikia na mamake anaishi chumba kimoja ndani..Hembu mwangaie Shebega! Yeye kakaia madaraka sasa miaka thalashini lakini hata tofali ya nne haijapanda! Yule ni shwaini kabisa.."

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2007

    Woooow!!!!!!! kumbe Lushoto nako kuna Flat? sasa sijui wana choo cha uani au humo humo ndani, what about air freshner?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2007

    wewe anonymous wa june 22, 10:15 am naona unaongea tu bila kujua kitu chochote, hizo nyumba hazicost kitu chochote, zinapandisha kwa mbao na udongo tu na baada ya hapo, watu wanasiliba kwa cement kwa nje na ndani. wala usiogope kuona gorofa, lushoto is the chepest area to build a house.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2007

    Nilisikia ukijenga nyumba ya mabati tanga unakufa kwa voodooo au walikua wanasema tu???

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 22, 2007

    we anony wa June 22, 2007 3:46:00 PM EAT acha upuuzi wewe

    eti air freshner si ajabu kwenu ni town hata kama ni dsm au popote ila nina uhakika by 99.9% hamtumii air freshner yaani wabongo bwana kutembea ulaya kidogo eti airfreshner wat the hell is that umekosa cha kusema eeh? mxiiii acha ushamba

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 22, 2007

    Shekimweri anakodosha hizo ni apartments, wafanyakazi wa serikali kama manispaa wakija wanakodi hizo, hamuoni milango mengi.....KICHWA Chako tu, shekimwei hongea!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 23, 2007

    Hongera sana Lushoto, ni kati ya wilaya chache zilizooendelea. Hao wapuuzi wanaosema madirisha hakuna hewa sio kweli hewa inatosha na watu wa Ushoto kwa kuchapa kazi hodari, muulize Mkapa na magorofa yake kama hayo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 23, 2007

    "Haya" nasikia mkapa naye ana nyumba lushoto sijui nayo ni staili hii au vipi ila hii ni nzuri na mazingira ya nje ni mazuri sana tungepata na ndani ikoje ingekuwa imetulia sana. yule injinia aliye hitimu juzi juzi sijui wapi nimesahau watch out!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...