Home
Unlabelled
madafu I
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jama, kama $1 ilikuwa inanunuliwa kwa sh.1260 saa nne asubuhi, halafu saa nane mchana ikawa ina nunuliwa kwa sh.1265, Je, shilling imeshuka thamani au imeongezeka?!! nisaidieni jamani:-( steved.
ReplyDeleteSteveD, kama unahitaji Tshs nyingi zaidi ili kununua dola moja hapo Tshs inakuwa imeshuka thamani.
ReplyDeleteMichuzi, hao xtreme bureau de change ni wezi wakubwa. Muda huo huo wa saa nne Masai Bureau de Change pale Samora Avenue mkabala na jengo la TTCL walikuwa wananunua dola moja kwa Tshs 1266
Anony wa 8:16. Hao sio wezi Kaka. Control ya Pesa za kigeni ilishakuwa liberalized Kaka. Hayo ni mambo ya "Biashara Huria" Kaka.
ReplyDeleteShilingi imepanda thamani from 1300 to 1265 kwa US$...sasa tunalipia hii tofauti kwa kupanda kwa bei ya fuel petroli sasa ni 1340 kwenda juu kwa litre moja.SIRIKALI mpo wapi? Wehere is your comment najua biashara huru lakini kwenye masuala nyeti kama energy serikali lazima iwe na msimamo manake ina affect uchumi wetu wote.Jamani wadau wa sirikali kama mpo tafadhali maoni ya ... yanahitajika
ReplyDelete