mdau jack lohay wa marabgu kashusha vituzz hivi sasa hivi. wadau mwasemaji juu ya mandhari hizi mwanana za marangu?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2007

    Jamani nakumbuka marangu waterfalls na picknic ...hivi bado watu wanaenda kufanya picknic hapo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2007

    The place is breath-taking! Nimewahi kwenda kwenye hizo water falls and I wished I just stayed there! Hewa iko soooo fresh na pako very greenish!

    Lee

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2007

    HAPO WATERFALLS WENGINE TULIPATIA WACHUMBA KILA MMOJA AKIWA AMEKUJA KWA RAHA ZAKE.ULIYEKUJA KUWA MISS KILIMANJARO .......S.M.G USHANIFAHAMU.
    SHADY WA MIKOCHENI BUSINESS UNAKUMBUKA MAMBO YA MARANGU.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2007

    I'M GOBSMACKED BY THAT SCENERY Thanx a lot for sharing!

    ReplyDelete
  5. Mwaka 1999 nilifika hapo kwenye maporomoko ya Marangu wakati huo nikiongoza wanakambi wa kambi ya kimataifa ya vijana ya Chama cha Msalaba Mwekundu Duniani. Waliokuwepo katika kambi ile ambayo ilifanyika katika chuo cha VETA pale Moshi na pia ni watembeleaji wa blogu ya mjomba Michu tafadhali naomba tuwasiliane kupitia dr_pori@yahoo.com tafadhali.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2007

    Jack Lohay????Nakumbuka kuna mwalimu alinfundisha Arusha Sec alikua anaitwa Lohay na watoto wake walikua na majina ya J J
    kama ni mama yako msalimie. I miss that school

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...