Home
Unlabelled
monica
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimesikia sifa za huyo mpambaji, kusema ukweli jinsi mimi nilivyo na tabia ya udadisi ya vitu vidogovidogo katika picha....
ReplyDeletenampa heshima yangu yote huyo Monica. She is truly gifted...na ni bora kama ana muda aanzishe shule ili apate wafuasi watakao jivunia kwenye vizazi vijavyo ya kuwa yeye alikuwa muasisi wa yote.
SteveD.
Hiyo ni SEND OFF!!!! Jamani sasa arusi itakuaje? Ama Kweli Bongo Party Culture umezidi!!!
ReplyDeleteMichuzi hii sendoff ukiondoa ghrama ya "UCHAKAVU" inakadiriwa ni kiasi ghani?
ReplyDeleteDuh, yaani nampa 100% and more! The room has taken my breath away!! Tunaomba utuwekee contact zake kwenye Harusiyangu.com
ReplyDeleteLee
Hiyo send off ilikuwa safi sana ilikuwa ya bwana moja anaitwa Jimmy na Lucy, hiyo tisa mambo yote jumamosi hapo Ubungo plaza, mambo ya bongo hayo
ReplyDeleteHello Kaka Michuzi, je waweza nipatia contact za da Monica Makundi
ReplyDeleteHello Kaka Michuzi, Je naweza kupata contact za Monica Makundi
ReplyDeleteilikuwa ni sherehe ya kumwaga bintilucy kataraia ambaye anafunga harusi na jimmy mungai kesho. aisee niko makini na kugundua sura za watu kwani hii meza ya hapa mwanzo wa mpiga picha kuna vijana machachari hapo nawaona ingawa vipara vinawafata kwa speed mia ishirini ambapo wako na dada yao mpendwa NK. Well done Monica
ReplyDeleteNOPE
kweli chema chajiuza. huyu dada wala hana makeke kama Dotnata Decoration lakini mambo yake ni kiwango!
ReplyDeleteHebu tuoneshe na kazi za Dotnata Decorations. Manaake sio kila siku Clouds FM na magazeti ya udaku "Dotnata Decoratiooon", "Dotnata decoration". Hebu tuone huyo Dotnata afanyani.
This is a waste.Hii itaifanya ndoa yao iwe bora kuliko ya watu wengine?Hawa jamaa watakua na ndugu kibao kijiji daily bread ni ngumu ile mbaya,lets think twice.
ReplyDeleteDa Monica rocks! kazi yake inakubalika..... she knows how to do it! Alipamba ndani hadi nje ya ukumbi! Twas fabolous! Sendof ilipendeza sanaaaaaa,, Lucy Kataraiya na Jimmy Mungai... Anony June 22,2007 1:41:00 AM the sendof costed almost twenty million...Jmosi sijui itakuaje?
ReplyDeleteWastage of money.Hapo ukisema wahitaji ada ya mtoto kwenda shule watu hawakuchangii.
ReplyDeleteBongo tunazidi kuwa wajinga tu.
samahani anony hapo juu ,ukihitaji ada kama unaomba msaada au wewe ni mtoto wao ,maana hata kama matajiri wanaweza wakakataa kukusaidia mchango.Lakini kama wewe ni family kasheshe.kama wastage ya money ni zao.hivyo wengine yetu macho.Wenye wivu wajinyonge.
ReplyDeleteWewe Anony wa June 22 2.56PM acha ufala na hizo wewe, sasa wakuchangie ili iweje, wewe ni kusaidiwa tu kila siku kwanini usichakarike kivyako utafute ada, nyie watanzania ndio maana mtakufa maskini, ni kuomba omba tu 24/7. sasa wao wameamua siku yao washerehekee, ndio meshaona wanahitaji kukupa msaada wewe. Na watatoa misaada kwa wangapi, maana waswahili mkishaona hivyo ni kupanga mistari kuomba omba, kwani wao walichakarika kusaidia dunia? Mapenzi yao na jinsi walivyopanga kutumia pesa zao ni wao na maamuzi yao, huna maadili ya kuwapangia.
ReplyDeleteKafanye kazi sasa, acha kusalandio vya bure.
Kaka Michuzi nitaomba kama utaweza tuwekee na picha ya harusi yenyewe hapo j'mosi, hongera Lucy sikujuwa kama ilikuwa sendoff yako nilisoma nawe primary skol, kaka michuzi bravo! gudjob, Asunta
ReplyDelete20,000,000 for that anony umesema tu au umeongea....there is no way hata kama hall umekodisha kwa millioni tano
ReplyDeleteHayawi Hayawi Yamekuwa hatimaye ndugu yangu Jimmy apata Jiko...that's what's up!...Congratulations Jimmy and Lucy.
ReplyDeleteWabongo mnavyojua KUJISHEBEDUA, SIWAWEZI, HAPO MMEKALIA, OOH nipe contact za Monica Makundi,namtaka Monica Makundi, namtafuta Monica akapambe harusi yangu, mtamuweza na malipo yake??????? Wabongo hamjatulia kweli nawaambia...
ReplyDeletewewe anon.Hizo pesa wamechangiwa na watu.Nilivyosema nilikuwa na maana watu hao hao ukiwaambia wakuchangie kupeleka mtoto shule watagoma.
ReplyDeleteSasa pesa zao nani kakwambia???Fikiria kabla hujaandika.Ndoa kinachotakiwa ni kudumu.Hiyo pesa yote ni upotevu wa pesa.Woye waliochanga wana ndugu wanahitaji ada,matibabu nk.Wabongo tubadilike.
Harusiyangu.com page nzuri, ila ingemake sense kama wangeweka price estimates. Tanzania mpaka uongee na mtu wee baadae ndio akupe bei. sijui kwa nini bado tunaona kuweka prices za vitu wazi ni big deal. Website nyingi za service providers za nyumbani ni completely useless, utaona chini wameandika "for more information, please contact so and so". More information, for them, means price details.
ReplyDeleteAnon wa 4:35 AM EAT, ni kweli kabisa unavyosema, mimi nadhani hizo zote ni njia za kukwepa kulipa kodi za mapato tu.
ReplyDeleteHapo michuzi lazima umekula cha juu
ReplyDeleteMbona wapambaji wako wengi tu bongo wazuri na bei zao poa tu. Naona ni partiner wa michuzi huyu au anajitangaza kupitia michuzi.
ReplyDeleteNimeenda kwenye Arusi Arusha sikuamini kuwa niko bongo. Niliuliza hata wamepapiwa shilingi ngapi nilishangaa sana. Hiyo milioni Ishirini ni uongo na kama ndio bei yake basi tafuteni wako wengi wazuri na bei poa tu
jamani, nimefungua tuu hi PAGE nikashtuka na huu UKUMBI, nilijua si Tanzania. Kweli Ukumbi ni tofauti na picha za kwenye 8020fashion, Shamimu Blog.
ReplyDeleteNaomba kama mpambaji kwenye Harusi ni huyu dada, plse naomba picha zaidi za harusi kama Bi Harusi na Bwana Harusi hawatojali kwa hili.
nataka niomne tena ukumbi utakuwaje kwenye sura ya Harusi siku hiyo.....dada anatisha nadhani ameaga kwao...
" Gratis " Swedish Language
Congratulations I mean.....