msanyo wa mufindi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2007

    Mi akisema kitu watu natukana tu.Sasa angalia hiyo,nini nafanya mtu ya Tanzania.Sisi akileta mangari anaambiwa naingilia biasara ya zawa.Mbona hata mimi iko zaliawa hapahapa bongo haitwi zawa.Sasa bana acha bisabisa,hii mtu napandiswa kama dudu ama nyama pori,panya na jusi hatakiwi dani ya uchumi ya sasa.Sisi mtu wa bali naweze kubinafisisha biasara ya chukuzi na safiri ndani na nje Tanzania.Lakini mie anapenda soma hii blogu na weka maoni angu,mtu nyingine natukana mie bila to hoja msingi.Acha tukana,saidia hiyo mtu nabanana kwenye gari dogo,gari zikidondoka makufa halafu naanza kulia,sehemu zika hakuna,sisi iko choma watu hatuna shida ya wanja zika.Tanzania saidia nchi hii kuwa uchumi acha siasa na jungujungu tu,kila kitu ongea jungu,mara zawa hapangishwi kwenye jumba zetu,mara sisi hatuko kwa gereza,mara sisi hana ombaomba,iko mtu safi sisi hivyo hatakuta yeye polisi wala gereza

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2007

    Huyu sio mdosi. Anataka kuudhi watu tu. Sehemu nyingi usafiri matatizo sana. Ila wengi wetu hata tukileta masaloon yetu hatuyapeleki huko. tunaranda mijini.....Hiyo 304 "pijo pua" ukiipeleka majuu pesa poa
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2007

    Pamoja na shida kubwa ya usafiri hasa huko vijijini, hili ni kosa kubwa la usalama barabarani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...