Kama kuna wadau ambao hawajawahi kupiga kambi kwenye mantenti sasa wape hiyo. hapo unaambiwa kama unataka kuchimba dawa kubwa juu yako kutafuta jembe. halafu si mijusi na nyoka hao...

Thanks
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2007

    Camping mbona hamna comments?Ila watu wengi hapa ni watoto wa mama Dar,camping hawajawahi kwenda.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2007

    Sasa tutoe maoni gani hapa? Tent lenyewe utazania cambidia vile. Mimi kama msichana sihusudu tent camp kwavile kama kuliweka mpaka likae vizuri weekend imeisha. I love camping cars (RV) au rent a cabin. Hii ni nzuri kwa Boy scout au girl guard

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...