Home
Unlabelled
vichwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi ninitena homa imesha aanza maana nasikie yule babu wa BOT alipita sasa isijekuwa majibu ndio yamaanza mungu amnusulu
ReplyDeleteMichuzi,tupe details za hiyo story ya Shyrose Bhanji kuwmaga machozi. Na wameweka picha alivyokuwa slimu siku hizi mnene.
ReplyDeleteSasa kwanini hao watoto wanalia? Kulikoni?
ReplyDeletecome on mpakanjia be a man!! u miss it???? ha ha!!...She's gone, she's gone!! Ile kitu tamuuu
ReplyDeletenimeona hii mahali tho ni ya siku nyingi lakini wapo bombaaa sana tuuu
ReplyDeleteAsalaam Aleykum dada Shyrose Banji na Mchumba wako Mheshimiwa Jafarai Watu wanategemea kitu kikubwa sana kutoka kwenu. karibuni katika dunia ya NDOA sasa. lakini mvumiliane maana wote nyie ni Mastaaa!
Kwani kaka michu Huwezi kutukandamizia kawebsite ka hilo gazeti maana unatuacha kwenye tashtiti
ReplyDeleteinamaana Amina Chifupa anaumwa kweli? maana hata bungeni hasikiki wala hajaonekana,Michuzi tupe habari kamili
ReplyDeleteguys, ivi ni kweli kuwa shairoz ni mchumba wa jafari? mi nilidhani ni udaku mjue. ebu tuambiane vema mbona shairoz ni mtumzima sana. jafari si ni serengeti boys kabisa jamani! sorry najua hayanihusu lakini nauliza jamani maana wana blog nawaheshimu
ReplyDeleteWatu wooote mmeona hadithi ya shyrose na Mpakanjia mbona ya hao polisi nyamnyam wa arusha hamuizungumzii watahakikishaje usalama wa raia hao?
ReplyDeleteWewe unayesema ni mkubwa...age ain't nothing but number....vijana siku hizi wanataka wasichana matured...na cougar is the next thing in now....kwa vile wanawake hawataki mwanaume wakumsupport kwa vile wameshajijenga wanachotaka ni love...
ReplyDeletewanawake wale wanao tafuta wafadhili na wale wanaume wanaotafuta wanawake wa kuwacontol ndio wnaenda na umri...but if the love is therre nobody cares about religion, age etc....
Naona unashanga kwa vile uko TZ lakini nje ya nchi sehemu nyingi that is not a big deal anymore..Jambo la kawaida hilo