Home
Unlabelled
vipimo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama ambavyo inglish not richabo kwako na mie sionagi vizuri na hesabu nilipata mia, hivi hapo unapima urefu au uzito kaka michu nawewe?
ReplyDeleteBraza michu tangu lini urefu ukapimwa kwa kutumia mzani? au hiyo ni teknolojia mpya. Ila sikulaumu kwani najua unaweza ukawa umelewa na ushindi wa Jk Boys.
ReplyDeleteKwani hamuoni hicho kijitu kichwani kwake..hapo ni double anapima urefu na uzito at the same time
ReplyDeletebwana wangu wewe shujaa ...umeeka uzito wako hadharani hivyo...Huku tuliko kama ilivyo taboo kwa wabongo kutaja miaka yao basi huku ni tuliko ukitaka kumtukana mtu muulize anauzito gani...utasikia msonyo huo...
Duuh! upimaji urefu kwa mizani.. hii kali kweli siku hizi! Halafu, huyo jamaa hapo anakupa moyo nini kwa kuusukuma mshale mbele zaidi ili ujione mrefu nawe?!
ReplyDeleteNafikiri alikuwa anapimia hiyo nondo iliyo shikilia turubai hapo juu ya mzani au sio ?
ReplyDeleteNyie watu hapo juu ni VIPOFU? kwani hamuoni hiyo kitu kama RULA hapo utosini kwa Michuzi?
ReplyDeleteMizani mingi ya kupima uzito wa binaadamu siku hizi ina rula ya kupimia urefu pia, na unapopimwa uzito unapimwa na urefu kwani kitaalamu uzito wa mtu unatakiwa uende proposhional na uerfu wake. Ndo mambo ya siku hizi hayo. Nyie mmezoea huki kijijini kwenu ile mizani ya rangi nyekundu ya kupimia magunia nini? Ile unayopanga vile vijiwe vyeusi vyenye tundu katikati?
Anapima urefu, angalia kibatu kilichombamiza juu ya upaa wake. Yuko mguu sawa na anapekua
ReplyDeleteDuh! kumbe mshikaji ni kijeba kishenz!
ReplyDeletekatika kibao wanasema unapima na umri pia..haha.michuzi naona miaka 95 pale..urefu futi tatu..uzito kilo mia 50 peke yake ni kitambi.viatu nasikia unavaa namba 12.suruali kiuno 40.inabidi walete minzani inayopima ukimwi pia najua michuzi hautojitokeza mstari wa mbele kupima.
ReplyDeleteHapo anapima uzito na urefu halafu wakicalculate Body mass index yake ndio watajua kuwa yeye ni under weight (I doubt kwa michuzi) normal weight (mhh still doubt) over weight ( I am not sure cauz I can't see his height here) obesity ( big no no no) .....
ReplyDeleteNdugu yangu kwanza kwa hiyo sijui semina ungetakiwa kuwa pia acticicy wa hii mambo...watanzania wengi wanahusudu sana unene...Na wanaona unene ndio afya au kitambi ndio utajiri lakini wamesahau kuwa kuna magonjwa mengi sana yanayohusiana na unene....