alipokuwa dar mdau obed wa mufindi alitembelea wanja na kupata picha hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2007

    hapo tushindwe wenyewe kushangilia tu,kwa kutoa nuksi,naomba yanga na simba wawe vinara kwenye makundi yao(ligi ndogo),then siku ya final wachezee hapo tuone kama uwanja utajaa(baada ya TFF kukomboa majani bandia bandarini)
    Kamtu-Chui

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2007

    Kaka Michuzi salama? Habari za toka tulipoonana siku ta "Pablik Sevis Dei" pale mnazi mmoja.
    Kaka siku nyingi mi nimekuuliza kuwa hivi ule mnara wa Mashujaa walioanguka na ndege ya kivita uliojengwa karibu na huo uwanja mpya umebomolewa au wameuingiza ndani ya huu uwanja sasa?
    Kazi njema!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...