
JANA NIMEMUONA KWENYE TVT MH. ADAM KIMBISA MEYA WETU WAS JIJI LA KANDORO AKIUTAARIFU UMMA WA KIBONGO KUHUSU UJIO WA JUMBA KUBWA LA KUUTANGAZA UTALII DAR ES SALAAM.
KWA KWELI NI HABARI NJEMA SANA MAANA TULIKUA KAMA TUMELALA VILE!!!! UTALII SIO LAZIMA NGORONGORO NA MIKUMI TU HATA HAPA DAR KUNA MAENEO YENYE HISTRORIA AMBAO YANAWEZA KUWAVUTIA WATALII NA KUIGIZIA JIJI LETU PESA ZA KUBORESHA JIJI HILI NA MAISHA YA WANA JIJI KWA UJUMLA.
NA SI SAHIHI DAR KUWA MAPITO TU YA WATALII KWENDA ZNZ NA MBUGANI. KWA MFANO ONA PICHA HII NILIPIGA MJI MMOJA UNAITWA GENT HUKO BELGIUM MJI HAUNA SWALA WALA TEMBO ILA NI MAARUFU SANA KWA UTALII WA MAKASIRI, MAKANISA YA KALE NA MAMBO MENGINE, VITU AMBAVYO HATA HAPA DAR TUNAVYO. BIG UP SANA MH: KIMBISA KWA KULIONA HILI
hajilukamba@hotmail.com wa DSM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...