Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2007

    Tanzania leaders need to explain what was the reason that kills TIPA? sijui kirefu chake, but i know it was the refinery system. So, when you join free market that is when u see,the important of refinery system. Serikali can't regulate price. Only demand and supply does this, what goverment has to do is to create refinery system again, so when the price skyrocket it reals gas from reserved and come the price down. Poleni sana Michuzi hayo ndio madhala ya kuchagua viongozi sababu ya sura zao, na sio knowledge zao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2007

    Sielewi kwanini hukuandika kwa kiswahili. Au ndio nacho hukijui kama usivyojua hicho Kiingereza unachoking'ang'ania?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2007

    Mwenzako kajaribu wewe je? Hacheni akili mbaya ya kukosoana ili mradi kukosoana tu mambo kama hayo hatuwezi kufika kabisa.. Mna lilia maendeleo wakati mawazo ya raia ni finyu ambazo zipo kuoneana wivu, kukosoana bila misingi,n.k

    Mkosoe mtu kwa kuongea kiingereza unacho ona wewe ni kizuri sio maneno mengi yasio na msingi.

    Tuelimike ukiwa na mawazo hayo unaweza ukawa ata mchawi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2007

    NINAUHAKIKA SERIKALI INATUMALIZA SANA, NI KWANINI??????WAO HUCHUKUA MAFUTA BURE NA BADO WANATUNYANYASA SISI(VIONGOZI)IS NOT FEAR AT ALL!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2007

    Mheshimiwa kiri kuwa umechemka vibaya sana tu sio uanze kupost kujitetea kama vile kuna mtu anakutetea. Mimi ninaringa na Kiswahili japo hiyo Lugha ya wakoloni naimanya vilevile.
    Sentensi ya kwanza tu alitakiwa aseme "the reason that killed... siyo "kills." Hii sentensi nayo ni uozo tu: So, when you join free market that is when u see,the important of refinery system. Huwezi kutafsiri kuona moja kwa moja neno ambalo ungeweza kuweka hapo ni "realize" au kwa kwa mwanafunzi kama wewe kidogo 'discover.' Kisha huwezi kutumia important kwa mtiririko huo neno sahihi ilitakiwa 'importance.'kwa sababu huoni muhimu unaona umuhimu.
    Mtundiko usije kuwa mrefu mno ngoja nimalizie na hii sentensi: 'so when the price skyrocket it reals gas from reserved and come the price down.' Price skyrockets na siyo skyrocket. reals bila shaka ulitaka kusema releases. Mama wa makosa yote ni kutumia neno come bila shaka ukitafsiri moja kwa moja neno kuja chini!! sitaki hata kuendelea kuisoma sentensi hiyo haina chochote sahihi.
    Ushauri wa bure. Ungesema unajifunza ningekuelewa na ningekupongeza, lakini kusema ati ninakuonea wivu na roho mbaya ni kukiri wewe ni wale wanaojidai wanajua kumbe hawajui na hawajui kuwa hawajui, hapo ni kuachana na wewe.
    Hayo maendeleo yanayotokana na watu kufanya makosa halafu hawataki kukosolewa hayawezi kuwa maendeleo. Watu kama wewe ndio mnaturudisha nyuma. Watu walifanya makosa kwenye mikataba ka ya IPTL, lakini kwa sababu hamtaki kukosolewa mmerudia tena RICHMOND ni kwa sababu mtu akiwaambia eti ana wivu. Miye simo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2007

    Jamani sio siri, nenda katika mikutano, utakuta graduates wanaongea point sana, ila tu lugha ndio wanaharibu, saa ingine huwa nadhani mtu anakuwa na point ila kuitoa kwa kiingereza anashindwa, so anaamua anyamaze...Mi naona iwe inaruhusiwa kuongea kiswahili kama kiingereza kitakushinda, then mtu atafsiri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...