Mr Michuzi nashukuru sana kwa kutupatia taarifa muhimu katika hii blog yako. Sasa mie ni mkazi wa Arusha (A Town) tangu juzi kuna matetemeko ya ardhi yanapita na yanatikisa vibaya sana. Usiku sikulala kwan kitanda kilikua kinatingishika kama mtu yupo uvunguni anakitikisa!!
Tunaomba wataalamu wa hali ya hewa watueleze kiufasaha kuhusu hali hii ili tujihami mapema!!
Tunaomba wataalamu wa hali ya hewa watueleze kiufasaha kuhusu hali hii ili tujihami mapema!!
Nawasilisha
Mdau
Michuzi,
ReplyDeleteNitakupigia simu. You sould at least make a cameo in Bongoland!
Limepita lingine sasa hivi kwenye saa kumi na moja na nusu hili limekuwa kubwa zaidi na limedum kwa muda mrefu zaidi, nadhani wa kwenye majengo marefu watakuwa wametimua mbio
ReplyDeletehata moja limepita sasa hivi hap ofisini tulikuwa tunachezeshwa sindimba.
ReplyDeleteHii issue sio utani, ni kweli. nimeongea na cousin wangu ambae yuko huko TZ, Arusha na ameniambia kuwa hata leo alikuwa ofisini akakuta Meza na samani nyingine zinatikisika.
ReplyDeleteni Vyema hali ya hewa watoe maelezo mapema kwani arusha kuna milima ya volcano na inawezekana volcano inajikusanya huko chini kabla ya kulipuka.
hii ni hatari ambayo serikali isiifanyie mzaha kama ilivyofanya kwenye RVF.
Kufuatana na habari zinazopatikana hapa Amerika, the epicentre (kitovu) cha matetemeko hayo ni kati ya TZ na DRC (Ziwa tanganyika...sana sana katika mji wa kalemea nchini DCR).
ReplyDeleteKuna matetemeko ya aina mbili. Moja, msuguano wa kuta za aridhi. Hii inasababisha mujengeka kwa milima. Mbili, kutengana kwa kuta za aridhi na kuleteleza kuzama kwa aridhi mabonde ya ufa.
Matetemeko yanayotokea, na mengine ni afterquakes, ni ya aina ya pili.
Yesu, sasa kama volcano ndio inaikusanya, mboni itakuwa hatari. Maskini bibi yangu.
ReplyDeleteLabda ni aftershock ya hilo kubwa lilotokea Japani leo. Nimeona kwenye News Lao kiboko
ReplyDeleteMICHUZI TAFADHALI TUWAKILISHIE SUALA HILI KWENYE KITENGO CHA UCHUNGUZI WA HALI YA HEWA TANZANIA, ILI TUJUE KINACHOENDELEA, TUNA NDUGU ZETU ARUSHA HIVYO KAMA KUNA CHA KUFANYA ILI KUJIHAMI TUJULISHE ILI TUWASILIANE NAO MAPEMA! TUJUMUIKE KULIANGALIA SUALA HILI SERIOUSLY!! ASANTE.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHawa jamaa wanaotoa comments huku,inabidi kuwa nao makini, Haya sasa click mwenyewe hicho ki Link cha huyo jamaa anaeitwa NGONO!!!
Tehetehetehe!!!
Hiyo earth quake ya jana ilikuwa na magnitude 4.7, kwa habari zaidi checki - http://earthquake.usgs.gov/eqcenter/recenteqsww/Quakes/us2007ewbe.php
ReplyDeleteUpdate: Limepita Lingine sasa hivi tena, Haloo leo watu wametimua kutoka maofisini, nadhani hili linaweza kuwa lina build up kuja kuleta madhara makubwa siku za usoni.
ReplyDeleteMR MICHUZI, THIS IS SERIOUS MATETEMEKO BADO YAPO YANAENDELEA.. TUNAOMBA IDARA HUSIKA WATOE SABABU ZA HALI HII NA JINSI YA KUJIEPUSHA KWAN HII MITIKISIKO NI MIKUBWA BA HIZI NYUMBA ZETU ZA MBAVU ZA MBWA MTU UNAWEZA KUFA KIBUDU.
ReplyDeleteMichuzi:
ReplyDeleteHao wenye majina katika rangi za bluu (au majina yanayopigiwa mistari), maana yake ni kwamba ukibofya kwenye hayo majina, ni "links"; unapelekwa moja kwa moja kwenye websites zao.
Sio wote; website nyingine ni za mambo ya ngono, kama jina la "ngono" lilivyo hapo juu!!!!!!!!
Michuzi:
ReplyDeleteKama alivyotahadarisha anon wa July 17, 2007 2:24:00 AM EAT, majina yenye kuandikwa kwa rangi ya bluu (au yaliyoandikwa kwa rangi nyeusi na kupigiwa mistari), ni "links" zinazokupeleka moja kwa moja kwenye websites zao, kama ukiyabofya!
Sio wote; lakini "websites" hizi nyingine ni mazizi ya ngono, kama ilivyo kwa huyo "ngono" hapo juu!
Websites nyingine ni mazizi ya virusi, digitally!