Home
Unlabelled
bwawa la maini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Udongo wao mwekundu lakini kusafi...Hebu kaka chukua details utuletee huku nyumbani wanafanyaje. Lakini utembelee pia hoods ambazo ni zile za uswahili uone pia...
ReplyDeleteNAOMBA KUULIZA MBONA KAMA LIKIZO NYINGI MWENZETU? HII LIKIZO YA MGAPI MWAKA HUU? AU ZINGINE UKO KAZINI.
ReplyDeleteKAMA NI HIVYO BONGO MNATANUA SANA...RAHA RAHA LAKINI MABAKULI HAYAISHI. HIVI NI KWANINI? SIKUSEMI WEWE MICHUZI LAKINI MAISHA YAKO TUNAVYOANGALIA KWENYE BLOG YAKO YANAREPRESENT WAFANYAKAI WATANZANIA. WATU WENGI NAWAFAHAMU NILIVYOENDAGA BONGO WANA KAZI NZURI TU NA UKITEMBELEA OFFICE ZAO UNASHANGAA. LAKINI HIZO ORDER NINAZOPOKEA KILA SIKU HUKU NI MIUJIZA. MARA LEO NAOMBA SIMU, KESHO UNAJUA KUNA MIWANI ZIMETOKA, KESHO KUTWA HIVI USED LAPTOP NI BEI GANI KAMA NI CHEAP NAOMBA NITAFUTIE BASI MOJA....KILA SIKU NI VITEXT MESSAGE
BONGO INATAKIWA WATU TUBADILIKE MAWAZO YA KUONA WANAOISHi NJE YA NCHI WANA HELA SANA YAKOME. NA KUPENDA KUOMBA OMBA SIO VIZURI. TUJIFUNZE KUJITEGEMEA NA KUTUMIA AKILI THE LAST OPTION IWE KUOMBA.