prodyuza na msanii saidi comorien akila pozi studio zake za metro akiwa kashika tuzo yake ya wimbo bora. huyu ni mmoja wa maprodyuza wachache wa bongo ambao pia ni waimbaji, wapiga ala aina zote na pia maprodyuza. inasemekana hii ndio inamfanya awe mkali sana katika kurekodi kazi za wasanii wanaotumia studio zake kama vile hafsa kazinja, tid na wengineo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michuzi wewe mchokozi sana!

    Hapa unataka tu kuibua mjadala kuhusu Said Mkomoro hasa kuhusu ile habari ya kugombea wimbo wa Nyota Yangu/L'Amour kati ya T.I.D na Esmail. Sasa sijui itakuwaje kama huyo Pasada (Pasaka?) akitokea.

    Juzi nimeongea na rafiki yangu yupo TZ kasema ule wimbo wa Pasada ulitoka mwaka 2002 au 2003;huo ndio umbeya wa Bongo; sasa nani kakopi kwa mwenzake?

    ReplyDelete
  2. Hilo kofia analivaa akiwa humo humo studio! Nje, kwenye ufukutu, sijui!

    ReplyDelete
  3. Dayuuum the brotha is FINE....aje basi NJ nimuone vizuri - matter of fact aje DC party....looking HOT KIJANA

    ReplyDelete
  4. Hivi kaka Michuzi, huyo ni mTanzania au MCOMORO?

    ReplyDelete
  5. Nimeusikia huo wimbo wa Mozambique, kila kitu ni sawa na wa TID kasoro nayodhani ni Lugha, maana lugha anayoimba huyo wa Mozambiq mi haipandi. Kwa kweli navyodhani huyu producer atuelezee kinagaubaga what has happened here

    ReplyDelete
  6. Laweza kuwa kama jina Cameroun Diaz au Cuba Gooding.

    ReplyDelete
  7. Niliposikia kipande cha wimbo huu na kuona video yake kwa kweli nilikubali na kuwakubali kwa kwenda mbele hawa jamaa yanii TID na Mngazija.Kumbe mtumee balaa !
    pamoja na jitihada zote za kujitetea ni bure kabisa sijui wanafikiri sisi wadanganyika tu wadanganyika hata kwenye music ? kwenye siasa sawa tu wadanganyika lakini sometimes not 4 all times,TID na Comorien acheni hizo huo wimbo kama si nyinyi mmegandamizia basi mtafuteni huyo aliyeimba huo wimbo na tumsulubishe mwache unafikii.Na hili ndilo litajenga heshima kwenu.Kama kuna mtu unaugomvi nae juu ya toto lenye mato na midomo mizuri sawa lakini huu wimbo una utata kijana jisafishe badala ya kujibandika majina mara TID,Jembe ara Mzazi hilo kaitane na Gardner ktk jahazi lake labda litakusaidia.JISAFISHE na upate heshima na sio kukazana na Clouds DJ'S watakutoa pesa na beer kwa kwenda mbele na mwisho result sio utakayotegemea.

    ReplyDelete
  8. Tutafutie huyo muangola/mmakonde ambao unawakana kuwa wimbo sio wenyewe wakati masikio na fahamu zetu zinaona na kuelewa kuwa kuna kulandana kwa kwenda mbele na sio kukazana kufanya vipindi vya radioni na tv na mgazija wako mkijitetea hilo alisaidi na mngazija usipoangalia utapoteza maana sisi sio wadanganyika bwana kibao kizuri sana lakini kina mushkeli yakhe USITUBONYEZEE ! SISI SIO MAJEMBE ! .MZUSHI

    ReplyDelete
  9. Bwana Michuzi

    Mimi ni mcongomani, naitwa kwa jina la Olivier Katoto, naishi London alakini hivi niko Malawi ndarudi London next week.

    Mimi ni producer na presenter kwenyi national tv ya Congo pale mji wa Bukavu.

    Nimekaa na Saidi Comorien Harare mwaka wa 99 na nilitaka nikuje na wanamziki kutoka Bukavu pale Bongo, unaweza ukamuambiya juu yangu, ama unitumiye email yake ama number kwangu www.bukavuonline.com ama olivierkatoto@msn.com

    Aksanti sana

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2008

    eu sou um hombre tanzaniano pero gostoi muinto de musica de saidi comorien quierp conhecer si ele es de tanzania o de angola e mozan\mbique

    sunvodoo@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...