Home
Unlabelled
knuckle2knuckle
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Big up AA-town tupo pamojaaa watu wetuu haina kweeeeeere!aminiaa machiilii wetuu.usibonyeze kidude mtu wanguu aminiaa hakuna usoroo jombaa wakileta uso, usoroo tunampiga mtu nyama chiniii!
ReplyDeleteTatizo la bongo flava artist ni kuiga kila kitu kutoka kwa US Rap artists. Tatoo nimeziona kutawala miili ya ma MC wa kitanzania. Wengi wao huiga kila kitu wakionacho kwenye TV, in reality these are two different cultures on two different poles.
ReplyDeleteMC is like a mirror to the society, so when we start introduce other things which are not obligated with Music that is where matatizo start.
I think we need to promote our culture and not african american culture.
awatuwezi nako2nako soldiers! the best hip hop group in the whole of east africa!!big up!!chest out
ReplyDeleteeastcoastcustomsound for freestyle videos
August 8, 2007 2:36:00 I support u 110% I dont understand why cant we implements vitu vya maana kwa jamii angalia huyo wahapo juu kabisa nitarudia tena alivyoandika point yake "wakileta uso, usoroo tunampiga mtu nyama chiniii" kwanza inaashiria uchochezi wa ugomvi na kutokuwa na busara.tuache kuishi maisha ya MTVBASE my fellow TZ
ReplyDeleteLizzie
Watanzania wazuri jamani dhu ona men haooooooooooo
ReplyDeleteAnon Said hapo juu nimekubaliana na wewe kabisa.Watanzania uliowasema wewe ni wazuri sana na wanafaa sana kuolewa.Mwanaume kaka hasifiwi sura
ReplyDeleteWa Majita Bugunda
Wameiga kuvaa heleni na kusuka mabutu na twende kilioni bado sasa wavae shanga kiunoni tujue moja.Namwuunga mkono Majita mwanaume rijali hasifiwi kwa sura.
ReplyDeletejana nilikuwa colon kushuhudia ray c kwa macho yangu mwanamke anajituma sana yule jukwaani kaimba zaidi ya masaa mawili non stop alipomaliza mzee mzima wa nako hapo juu asiyevaa kofia akaendeleza makamuzi kama kawa...kama ni kweli wanatoka wote basi ni bonge la best couple maana jana nilivyowaona walikuwa serious na wanachokifanya na hawakuonyesha malavi davi yoyote....time 2 work fellas au sio ray n lord big up na hii ni kwa ajili yako bebi....i respect ur work
ReplyDelete