tunapata dina la mchana leo ukweni. hao ni mashemeji zangu. huku mwiko kula meza moja na wakwe. wanaotaka picha ya mai nanihii wangu kwa karibu naomba waanze wao tutuma za kwao kupitia issamichuzi@gmail.com ambayo sasa iko hewani tena baada ya kuigomboa ndipo na mimi nitaweka ya siku ya harusi kabisa. huwezi kaa kimya...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Yule mzungu vipi?
    au unakamilisha line up .... max. 4 bands!!!! - ruksa mzee!

    ReplyDelete
  2. Nilizania siku unatuonyesha mywife wako itakua special the whole blog inakua yeye tu. jamani !!!!!

    Michuzi....sisi ni kama ndugu zako bwana before we go to bed we open your blog. The first thing in the morning is your blog. You should be happy and say "Thanks for inviting me in your home everyday" Ndio waandishi na watangazaji wa vipindi wanasema hivyo "THANK YOU" na ili kuwa so close na wapenzi wa vipindi vyao...always xmass, or new year wanabring their family to the studio na kuwaonyesha watoto wao, wake za, wazazi wao hata wakwe zao if possible and people feel more close and love to watch the show more....TZ ni vice versa....oh well....culture yetu mambo mengine bomu sana.

    Well, sasa kama mpaka tukutumie picha ndio na wewe utatuma na tulio single itakuaje?

    Bwana kama unaogogpa waosha vinywa no need for blogging buy the way you control all the comments before you post them right?? So.... do the right thing achana na mambo ya kiswahili...nakuheshimu sana nikiona kila siku unatoka nje ya bongo na kufikiri unalearn something

    Be proud of what you got

    ReplyDelete
  3. heheheeeee ,hihihiii haya tutakaa kimnya,wewe umeshika mpini bwana makali tunayo sisi

    ReplyDelete
  4. Siamini kama mama watoto wako umemwacha au?? Kwasababu najua kuwa mkeo ana watoto watatu halafu naye ni mwandishi sasa huyu mganda umeoa lini tena????

    Ila kila la heri kwani yote ni maisha!!

    ReplyDelete
  5. Kuhusu huyo alietuma comment ya pili nadhani kwanza inabidi ajue anachoandika kwani sijaelewa kabisa alikuwa anaongelea kitu gani. Secondly lugha yetu ya taifa inaonekana bado inakupa utata ngeli ndio kabisa ikojuu chini.(''buy the way'' inatakiwa iandikwe ''by the way'')
    au wadau mnasemaje?

    ReplyDelete
  6. umesema hairuhusiwi kula na mkweo: sawa, yapo masharti mengine.
    kwa mfano kuna maeneo fulani hapa TZ huwezi kutumia choo anachotumia mkweo... inabidi uende vichakani. vilevile ni lazima uchuchumae wakati wa kusalimiana, moja ya sharti gumu kabisa ni kwamba ni lazima ukubaliane na kila anachokisema.

    wale mnaojua masharti zaidi tuambieni

    ReplyDelete
  7. kaka michu, yaani hako kaugonjwa ka mikonozz hakaogopi ukweni?! naona kalitaka kukuanza hapo kulia!

    ReplyDelete
  8. michuzi uliwahi tuonesha picha moja siku ya harusi yako uko na kanzu na my wife wako na wapambez.

    SWALI; yule ndiye huyu au??

    ReplyDelete
  9. Wengine !tunatafuta wachumba sasa bora utuonyeshe shemeji yetu tusitupe ndoano.hahah

    ReplyDelete
  10. Halafu Michuzi bwana utafikiri bado upo enzi ya ujamaa na kujitegemea. Kama my wife wako watamkomment ndiyo maisha usiogope, unajua unaposita ku-mpanch humu ndiyo wafungua vinywa unawapa nafasi ya kumchambua zaidi na zaidi maana wanajiuliza what and where to comment ilimradi wameongea chochote.

    Haaa haaaa wafungua vinywa ndiyo tulivyo. wanaitwa wazee wa TBS

    ReplyDelete
  11. sasa wakwe hao waishi hotelini? Michuzi mbona yaonekana kama hoteli hiyo. Haya mimi chichemi nakubali tu yaishe

    ReplyDelete
  12. Michuzi, hao wenzetu wanadhibiti namna gani majanga ya ugonjwa wa Marburg na Mafuriko mjini Kampala?

    Tahadhari hizo zinaweza kuwa fundisho kubwa kwetu!

    ReplyDelete
  13. MULIMUTYA MUKO MICHUZI NE MUGANDA WANGE.MBANILIZA NYO MU BUFUMBO BWA TZ/UG KUBANGA NANGE BWENDIMU.
    NVA MENGO, KAMPALA ERA NZE NE FAMILE YANGE TUBAGALIZA OBUFUMBO OBULUNGYI
    TZ/UG FAMILE MU USA.
    tongilug@yahoo.co.ukb

    ReplyDelete
  14. KAMA KARATA UMELAMBA DUME MAALIM

    ReplyDelete
  15. Anon-August 3, 2007 7:01:00 Hayani hakuna point hata moja umeandika inaeleweka sasa ulikuwa unataka kusema nini unaweza kaa chini kidogo tunga sentesi tutakayo kuelewa.ndio maana mnalalamika kaka michuzi anawabania msg zenu inabidi aweke kitu wadau waelewe au sio

    ReplyDelete
  16. Mtoto wa kwanza kulia ni bomba sana unaonaje michuzi,

    ReplyDelete
  17. more picture please ya wife wako haonekani vizuri

    ReplyDelete
  18. Anon wa 1:11:00,

    Huyo ndiye shemeji yetu mwenyewe kwa kaka Mithupu kwahiyo mara nyingine usiongee tena maneno hayo nakuomba tafadhali please!

    ReplyDelete
  19. nadhani huyo bibie kulia kwako ameushtukia huo mkono wako, cheki alivyokaa kimachale

    ReplyDelete
  20. Michuzi umenichanganya kidogo,
    ila kwa mujibu wa takwimu/research ya sensa kupitia hii blog yetu naona una 'my waifu' wawili kabla, na huyu unaemtambulisha atakuwa wa 3.
    Nani atakuwa mpiga picha harusi au utajipigia picha mwenyewe mzee?

    Kesho nitakuwa Wembley; Man U v. Chalsea. 3-2 for Man U!

    ReplyDelete
  21. Bwana mwonyese mkeo...watu wamuone tu maara moja kiishe? Nini maana ya kumfichaficha? Au wako wengi ndio? Jambo la kawaida kuw ana mke na watu kumuona ni jambo la kawaida. Au umvalishe jale manguo meusi basi tuone macho tu.

    ReplyDelete
  22. Braza Michu umetuachia maswali mengiz.... My wife wako hujamweka peupe tukamwonapo..kisha tuambie hapo ndiyo my homekwao?UG!! Manake umezidi hotelini...mwisho mikonozz.. yaonyesha shem kashtukia kaugonjwa kako..Pole.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...