mgeni katika http://www.bongocelebrity.com/ safari hii ni msanii juma nature wa wanaume halisi. usikose mahojiano yake na tovuti hiyo yenye kuibua nyota halisi wa bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. teh teh tee heee jamani hilo jacket na joto la kwetu mbona kazi????

    ReplyDelete
  2. Anon august8,2007 hapo juu unachekesha??Utavunja watu mbavu kaka.Hivi Tanzania yote ni joto tuu au mimi ndo nimekosea?Nimetoka Tanzania juzi tu na sijaisahau kamwe.Picha hiyo aliipiga akiwa Tripple A Arusha,na ilikuwa baridi.Wewe ulitaka avaaje??Au nyie ndo wale mnao lamba barafu kwenye baridi kali kisa mmezilamba Dar??Kwani angeenda kupiga njombe au mbeya ungetaka avaaje.Mimi nina picha yake ya siku aliyovaa hivyo akiwa Ar na nimepiga nae na imi nilikuwa nina jacket zito. Teheheteheteheteheteteeeee! Watu kwa kukariri bwana. wewe unajua msanii lazima avae nguo za joto??? Du kaaaaaaaazi kwelikweli
    Wa majita Bugunda

    ReplyDelete
  3. Unajua huyo anony wa kwanza ndiyo wale wakuja ambao wanajua Tanzania ni DSM, Ila ukiwa kule Mafinga au Makete mhhhhhhhh sijui.

    Mzee wa TBS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...