A famous American preaching couple (Mr & Mrs Stumble) resorted to using a Mr. Hamisi for translation once they failed to get a proper bi-lingual local in Lamu.....the preaching had the following translation.

STUMBLE: Everything comes from above.!!HAMISI: Vitu vyote huja juu juu,
STUMBLE: So you see my brothers and sisters,HAMISI:.......Basi ndugu zangu waangalieni akina dada,
STUMBLE: know perfectly well,HAMISI:.....Na muwajue vizuri sana,
STUMBLE: That all world affairs,HAMISI:.........Kwamba mapenzi yote duniani,
STUMBLE: are successfull only if held from above,HAMISI.............Hufanikiwa tu ikiwa mmeshikana juu juu.
STUMBLE: Remember, faith is your pillar,HAMISI:...Kumbuka kuuamini mlingoti wako,
STUMBLE: Keep it first and above,HAMISI:..............uuweke kwanza juu juu.
STUMBLE: Let it run very deep and stong,HAMISI:...............Ndo kisha uukimbize ndani kabisa tena kwa nguvu,
STUMBLE:Should anybody want to test you,HAMISI:..............Mtu yeyote akitaka kukuonja,
STUMBLE:......will feel its work,HAMISI:...............Ataisikia kazi yake
STUMBLE: Then from deep inside you'll feel peace pouring out,HAMISI:........ndo kisha baadaye utasikia kutoka ndani sehemu moja ikimwagika nje,
STUMBLE: That peace will flow and enter even those you are with,HAMISI:.......Sehemu hiyo ita tiririka na kumwingia uliye naye,
STUMBLE: and that peace will remain.HAMISI:..............Na sehemu hiyo itabakia.
STUMBLE: Amen.HAMISI:............Huyo ni mwanamme.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. we michuzi hulali?hii ndo kwanza umei post,saa ngapi unajua?ni saa 8 usiku za tanzania.

    ReplyDelete
  2. Haichekeshi sababu umekosea kidogo kama ilivyokuwa hapo zamani. Jina la mchungajia alikuwa living stone-na makalimani akasema jiwe linalo isho-siyo stumble. Anyway umejitahidi.

    ReplyDelete
  3. Michuzi kaka yangu! haya ni mambo ya wanafunzi wewe kaka mtu mzima na mai wafu wako unaye bado unaposti vitu kama hivi? na watoto wa shule wafanye nini? Kwa taarifa yako tunaieshimu sana hii blog yako so wochi auti.

    ReplyDelete
  4. Huu ni upuuzi na ufinyu wa mawazo, sio kichekesho! Sijui ni mtu wa dini gani dini gani huyo mtafasiri?

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    angalia sana mijadala kuhusu imani - dini za watu. ndio chanzo kikubwa cha migogoro mikubwa hapa duniani.
    usipozingatia, utajikuta upo ktk matatizo na makundi fulani fulani.

    ni ushauri tu..

    ./

    ReplyDelete
  6. Ha ha ha ha, tehetehetehetehehe hoho - LOL.... ROTF)!! very funny. Wee leta tu jokes, laughter makes the world go round! This is a break from reading matangazo ya vifo, ufujaji wa mali, rushwa na handikazzz na skyscrapers za TZ!!! Jokes ni kama HIV, utacheka tuu whether ni blu, black, red, mwanafunzi, boss, masikini au tajiri

    ReplyDelete
  7. Michuzi, sasa upuuzi gani tena huu unaweka bro. Au ndio kukosa cha kuweka na umri wako unapost tu kila kitu hata kama cha kipuuzi?

    Kwa leo kaka michu, nasikitika kukuambia kwamba umeniangusha. Achana na mambo ya watoto wa shule bwana, we mtu mzima na familia yako, hata kama unataka kufurahisha kila mmoja wetu, sio kwa style hii.

    Rekebishika bwana, huu ni upuuzi.

    Mdau

    ReplyDelete
  8. Jamani hakuna anayelazimishwa kuingia katika blogu ya michuzi na kumbukeni kwamba hii ni blogu yake anao uhuru wa kuweka chochote anachoona kinamfurahisha yeye.sasa kama unaona ni cha watoto wa shule nyamaza tuachie tunaopata uhondo,kuna watoto wa shule pia wanaipitia hii blogu kwahiyo Michuzi anajaribu kugusa kila rika kwa namna moja au nyingine.

    ReplyDelete
  9. Wewe anonymous 10:12, acha kumdanganya Michuzi.

    ReplyDelete
  10. maskini mithupu,leo umeula wa chuya,kila mdau anakuandama kwa post hii,unatia huruma,kaza roho lakini.

    ReplyDelete
  11. Upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

    Hatuna akili a mende!

    Ingawa tunapenda kucheka, lakini huo ni upuzi mkavu!

    ReplyDelete
  12. lol waosha vinywa kama desturi yao.... kaka michuzi wahenga walisema kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji... hamuoni haya watu wazima hovyo eti wewe mtu mzima.... hakuna mtu hapa hata mmoja mtu mzima konokono ama kobe wanaotembea na nyumba zao mgongoni... ni kweli asemavyo anony hapo juu kwamba hata kijana kama mimi huwa tunapitia hii blogu kwa hiyo msitunyime haki yetu...... kama unajiamini jibu pumbafffffffffffffffff..

    ReplyDelete
  13. he he h eh he he hee heeeeeeeeeee teeeeeeee haa ha ha ha aah ! Hee na nyie nao mnaolalamika mzungu ansemaga HAVE A SENSE OF HUMOUR !! wabongo wengine bwana kila kitu mfanye issue its just a JOKE !! more pleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeaaaaaaase !

    ReplyDelete
  14. NAOMBA KUULIZA. HIVIJAMAA ALITAKA KUSEMA PIECE AU PEACE?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...