koffi olomide akihojiwa na gerald hando wa clouds 88.4 fm alipokuwa bongo mara ya mwisho. mwanamuziki huyu anatarajiwa kuwasha moto kwenye fiesta 2007 ijumaa hii huko mwanza ukumbi wa rock na siku ya pili ccm kirumba. safari hii fiesta itafanyika pia kwa watani wetu wa jadi na kwa mzee m7

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. huyu jamaa ana nyodo sana, mara ya mwisho alipokujaga mwanza akasema atafanya onesho kirumba; sasa watu tukajaa kuanzia saa 5 asubuhi, ish, onyesho lianze saa 8, jamaa hakuonekana mpaka saa 11 alafu alipofika, akaimba nusu nyimbo akaondoka, halafu hata hajui kuomba radhi. basi tukaamua kumpiga mawe na waandaaji.
    jana yake watu walilalamika vilevile kwa sababu alikuwa amepanga kufanya shoo ya garama kwenye maeneo binafsi nyakati za usiku. watu wenye hela zao wakaenda; matokeo? akaja saa nane unusu usiku halafu akaimba nusu tu.

    kama mnamleta tena huyu msiweke kiingilio, wekeni kitokeo, ili watu wakiridhika walipe kuondoka.

    mwisho: nasikia ana mademu wanne wale wanenguaji, wote analamba mwenyewe. sasa ngoma kwa wanamuziki wengine, wakigusa tu = kazi hakuna.

    halafu nashangaa kwa nini mnawahangaikia hawa wakati kuna vijana ahapahapa bongo wanakong'oli muziki wa nguvu?

    anayefaa kuja ni awilo tu, yeye alipanda pick up kwenye spika halafu ananengua huko huko. inaonesha ana enjoy kazi yake, halafu alikuwaga anagawa picha zake yeye mwenyewe. lakini huyu mnayempigia debe hapa haonagi thamani ya watu, anapanda gari za vioo vya giza halafu anaingia hotelini mkukumkuku utadhani anatafutwa na polisi.

    ReplyDelete
  2. hiyo blauz na mkorogo ! Mungu tunusuru, kila kukicha inazidi kuwa ngumu kujua mwanaume ni nani na mwanamke ni nani.
    What happened to thosegood old days when a man was a man and a woman was a woman ?
    John Kay

    ReplyDelete
  3. Anon wa August 8, 2007 saa 1:11PM EAT you do not have to be a woman to love your skin, neither do you need to be a woman to look your best. Life is too short, whatever makes you happy just do it as long as you do not anger your creator. remember, you can't satisfy humans, if Kofi would have done a thing to look what he thinks the best you would have said look at him, he is making lots of moneybut he can't even take a good care of himself

    ReplyDelete
  4. HILO TOVU SIJUI KALIACHA NJE LA NINI..LOL

    ReplyDelete
  5. Dawa ni kutoingia katika maonesho yake. Tatizo la wabongo hatuthamini haki ya kupata kile tulicholipia. Akileta nyodo na msiporidhika na onesho lake mna haki ya kudai pesa yenu na gharama ya muda aliowapotezea!
    Wake up!

    ReplyDelete
  6. Sura MIRINDA,
    mikono PEPSI

    Kaazi Kweli kweli....

    ReplyDelete
  7. Kuuliza si ujinga, hapo ndugu mtangazaji alikuwa anatumia lugha gani kumuhoji msanii huyu?

    ReplyDelete
  8. Mbona Kavaa Kama Gay?

    ReplyDelete
  9. Blauzi aliyovaa inaitwa CO.D.M, FILL THE MISSING LETTERS

    ReplyDelete
  10. WADAU WENGI MTALALAMIKA SANA KUHUSU WANAMUZIKI HASA WA KONGO NA MAONYESHO YAO.
    HAWA JAMAA WANAFANYA MAONYESHO KULINGANA NA MKATABA BAINA YAO NA WADHAMINI WA MAONYESHO.
    UKINGALIA KWA UNDANI ZAIDI, WADHAMINI (WAANDAJI) NDIYO WANAOSABABISHA HAWA JAMAA KUFANYA MAONYESHO MAFUPI NA MUDA MCHACHE KWA SABABU YA KUTOPEWA FEDHA ZAO HADI WAPANDE JUKWAANI.
    KAMA MTAKUMBUKA PEPE KALLE ALIWAHI KUZUILIWA PALE MANZENSE TIP TOP HOTEL KISA WADHAMINI WALIKUWA HAWAJALIPA FEDHA ZA MALAZI NA CHAKULA!
    KUNA MAMBO MENGI YA NYONGEZA YANAYOFANYWA KIENYEJI NA MAPROMOTA WETU KWA KUKUSANYA FEDHA NA KUTAKA MWANAMUZIKI AFANYE ONYESHO KATIKA SEHEMU AMBAZO HAZIMO KWENYE MIKATABA YAO.
    MAPROMOTA WENGI NI KAMA TFF AU KLABU ZA SOKA; HAZITOI PESA HADI MALAZI NA CHAKULA KWA WASANII HADI WATAKAPOKUSANYA FEDHA ZA MAPATO MLANGONI.
    KWA HIYO TUKIWALAUMU HAWA WANAMUZIKI NA KUWASAHAU MAPROMOTA, TUNAKOSEA. TUANGALIE KOSA LIPO WAPI NA KWA NINI JAMAA WAFANYE ONYESHO NUSU NA SIYO LOTE?
    KAMA ALIKUJA MWANZA AKAPIGA NUSU SAA, UJUE KWAMBA MKATABA PENGINE ULIKUWA KWENDA KUPIGA KWENYE HOTELI YA KIMATAIFA, HIYO YA KIRUMBA NI GAME LA MAPROMOTA NA BENDI ZA BONGO AMBAZO WASANII HAO WA NJE HUTUMIA VYOMBO VYAO! THANKS

    ReplyDelete
  11. Duh six pack huna halafu unavaa vifulana vyakuonyesha kitambi haahaahhaaa LOL

    Jamaa nenda gym kwanza ndio uvae fulana kama hizi

    ReplyDelete
  12. HAYA MABINTI WAPEDA VITAMBI KOFFI KAWEKA MAMBO BAYANA.HIYO CHEKECHEKE ALIYOVAA INAFAA KWA SKRENPRINT AU WAWEZA CHEKECHEA UNGA.

    ReplyDelete
  13. Kuna siku nilikutana na jamaa kavaa mesh shirt kama hiyo na kawa anajiona mzuri kweli. Lakini jamaa alikuwa na KIKWAPA!

    ReplyDelete
  14. I hope hiyo CO.D.M aliyovaa Kofi inaziba sehemu zote zinazotakiwa kuzibwa, ama la TWAFA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...