Home
Unlabelled
pamba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Some are not getting it! Pamoja na kufundishana kuwa hizo "lebo" kwenye mkomno wa koti zinaondolewa, bado, bado wengine hawataki kujifunza!
ReplyDeleteOndoa hiyo "lebo"!
Hii suti ni ya mtumba nini,mbona iko loose hivi kwa huyu jamaa?Sio stylish hata kidogo.
ReplyDeletePamba sawa kaka.Ila tatizo la huyu bwana ni maringo na majivuno yasiyo na mpango.Nasikia haelewani hata na ndugu zake.Mwambie ajirekebishe ili pamba nzuri ziendane na tabia nzuri.Ushauri tu
ReplyDeletesuti na Bongo Fleva wapi na wapi wewe? Mwambie amuulize mwenzie Inspector Haroun aliyejaribu hiyo staili. Ni kama vile kupiga bongo fleva kwa kutumia bendi, wala haina fleva kabisa. Mi huwa nawaangalia tu wafuata mkumbo wanavyohangaika kureproduce beat za Majani eti kwa kutumia magitaa..
ReplyDeletelebozzzz lebozzzz lebozzzzz kaka michuzi
ReplyDeleteYaani usiniambie kwamba huyo profesa jei alikuwa hajui kwamba hiyo LEBO hapo kwenye mkono wa kushoto wa koti ilikuwa inapaswa kuondolewa. Mweeh!
ReplyDeleteAu alikuwa anafanya makusudi tu ili kunasa atensheni ya watu/watazamaji wake?
Sitaki kuamini kabisa kwamba alikuwa hajui hilo. Vandumwe!
hakuna inayongarisha kama kiwi
ReplyDeletevipi hapo
Hapa Michuzi unataka kuanzisha tena mjadala wa 'vilebo'vya suti. Mjadala ambao bado haujapata mshindi.
ReplyDeleteI like Prof jay, good outfit, tatizo ni moja tuu, inabidi apate personal fundi ambaye atampatia suit itakayofanana na vipimo vyake... Inaonyesha ya kwamba hizi suit anatungua na kuweka mwili, tatizo linakuja pale anapozivaa, zinaonekana kumpelea kwenye mikono na urefu.
ReplyDeleteJay ni mtu wa vyuti longtime sana. Jamaa akiwa kwa steji waeza sema ni CEO ati. Kuwa mwanamuziki haimaanishi kuwa mchafu. Big-up Jay.
ReplyDeleteWatu waongo sana mimi Jay kaka yangu sasa tangia lini familia yetu hatuelewani wabongo kwa uzushi
ReplyDeleteMiss Haule
Big up!!! miss Haule hayo jamaa alieongea pumba ni hapo juu inaonyesha ni jinsi gani alivyopambafu na kutaka kuingilia mambo ya familia za watu.Big up jay and ya family.
ReplyDeletejamani kaka wa watu kapendeza angikuwa kavaa mlegezo bado mngesema je angeingia uchi si ndo mngepayuka hadi basi sasa mwacheni kaka wa watu hamumuoni kavaa suti kama ya will smith na tom crusie zile zaku shine ndo latest.
ReplyDeletekingine labda hajatoa hiyo label ana mpango wa kuirudisha dukani awe refunded for his money he just bought it for that event.lol kazi kweli kweli.
Baobabconnections presents: the Why MDGs competition How can you make this world a better place? Enter your rap lyric, poem, essay or short video and win 1000 Euro!
ReplyDeletePoets, emcees, video artists and writers from Africa, USA, Europe and the rest of the world join us as we battle to make the world a better place. 'Why MDGs?', our international online competition, is open now and runs until November 2007 at www.baobabconnections.org.
The United Nations are convinced that poverty must be stopped by 2015. If achieved, their plan, the Millennium Development Goals (MDGs), can make a huge impact on poverty. But how do you feel about this idea? Can these goals be achieved?
Are they indeed realistic?
Write us a poem, send us a short video or an essay on how you feel about
the MDGs... The best entry WINS 1000 EURO!!!!
Participate now at http://www.baobabconnections.org.
Spread the word
You can help us spread the word by spreading the flyer (see below) or adding it to your website. Do you know any talents? Forward them this mail so that they too can participate!
mshamba kaacha lable kwenye mkono...ondoa lable hiyo!!
ReplyDeletePAMBA SAWA MZEE
ReplyDeleteMASHAIRI BUSARA KIZEE
ULINGONI KAMA NTEZE
USIWAACHE WAJINGA KIFUBU WAJIKWEZE
NAKUPA HESHIMA NI BUSARA MZEE.OK!!