mkuu wa majeshi jenerali george waitara akimpa pole kamishna mkuu wa magereza afande nanyaro (kulia) baada ya mazishi ya mkewe (mama nanyaro) jioni hii katika makaburi ya kinondoni, dar. wengine wanaoonekana kushoto ni afande tibaigana na inspekta jenerali wa polisi mstaafu afande omar mahita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Kweli sote tu safarini, nakumbuka siku ile wako ikulu mmewe akiapishwa na raisi na wakapiga picha ya pamoja, ametabasamu kati ya JK na bintiye.. Mwenyezi Mungu amurehemu.alikuwa mpole na mkarimu.

    ReplyDelete
  2. mimi bwana ananifurahisha sana huyu baba areksi(mzee tibaigana)ni mtu poa sana

    ReplyDelete
  3. Wafiwa poleni kwa msiba.

    Inapendeza kuona viongozi waliopo madarakani wanaendeleza ushirikiano na wale waliostaafu.
    inapendeza kumuona NGUNGURI - fmr IGP Mahita - akiwa msibani

    ReplyDelete
  4. siyo areksi ni arufredi bwana!mmmh infwakti watakupa fwata ya mwoto ukikosea taito zawo bwana za bwaridi watakunywa wawo tu!

    ReplyDelete
  5. namuona mzee tibaigana anataka kumu arrest mtu,jamaa anaonekana mtu poowa sana,.

    ReplyDelete
  6. Anon August 28, 2007 7:06:00 ujaerewa bwana areksi ni yure kijana wake yuko masomoni marekani bwana

    ReplyDelete
  7. HAPA KAMANDA TIBA ANAFIKIRIA JINSI ATAKAVYOTUPANGA SIKU YA UFUNGUZI WA UWANJA WETU MPYA WA TAIFA KATI YETU NA WATOTO WA MACHEL ! SI WAJUA NAYE YUU KTK KAMATI YA MANDALIZI NA MANDALIZI MENGINE NI JINSI YA USHANGILIAJI KAMA HUKO KWA WENZETU WANAVYOSHANGILIA NA KADHALIKA.SASA TUSUBIRI SIKU SHUGHULI TUONE.NA WAKATI MWINGINE TUTAPEWA MAKAMISHINA TOKA WIZARA MBALIMBALI NA WATATUONYESHA MIPANGO YAO JUU YA KABUMBU(SOKA) !

    Undugu ni kufaana !
    Mzushi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...