shule hii ipo dar. kwa maelezo zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Shule inajitahidi kulinganisha na za kibongo..bot you cant call shule ya kisasa..what so special there? hizo computer kama internet cafe? hapo ada kigongo kisa computer..keep it up bado sakafu vumbi tuupuuu..Duuh

    ReplyDelete
  2. Jamani kama shule ni English medium na kingereza kiwe fasaha. Watajifunza nini kama walimu aua hao waandisha hawajui kingeereza.


    Soma hii uone ni makosa mangapi katika hii palagaraph. Bai wawe makini wakiandika vitu vyao au ni kwa mwendo wa kibongo kulipua lipua tu.


    "The students teachers and parents are very serious about education and consider the school central to their diverse community.The school managements aims to provide quality education that imparts a broad set of skills and knowledge and that develops independent and critical thinking abilities. The education is also designed to assist students in acquiring the values and life skills that will enable them to make their way confidently in a world characterised by globalisation and technological advancement."

    Inatia aibu

    ReplyDelete
  3. wewe anony hapo juu unakosoa hiyo paragraph lakini wewe mwenyewe hujui english wala kiswahili.

    Paragraph umeandika palagaraph. Kuripua ripua umeandika kulipua lipua. wabongo tujifunze lugha hizi.

    ReplyDelete
  4. afadhali kuna wengine pia wameona, nilifikiria nimeona mwenyewe. Maana lugha ni vurugu tupu halafu wanakwambia lugha "stictly english". Kwa mtaji huu watoto watapotoshwa kwa gharama kubwa

    ReplyDelete
  5. sasa viongozi wanataka kutuchanganya zaidi....angalia hii suggestion toka kwa Lowassa...

    "Lowassa apendekeza shule kufundishwa Kichina' from ippmedia.com August 29, 2007

    ReplyDelete
  6. Inaelekea Bongo ni uwanja wa mazoezi ya lugha! Kiingereza chenyewe noti richabo sasa Lowassa anapendekeza kichina! Ipo kazi!

    ReplyDelete
  7. NI RAHISI MTOTO KUJIFUNZA LUGHA MBILI MPYA AKIWA MDOGO.

    KICHINA NDO LUGHA INAYO ONGEWA KULIKO LUGHA ZOOTE DINIANI. ...NA KWA JINSI MAMBO YANAVYOENDA, UPANDE HOU WA DUNIA NDO UTAKUWA MHIMILI WA UCHUMI AU BIASHARA.

    LOWASSA KAONA MBALI, LAKINI SI AJABU TUKIMKANDIA KWA SASA, NDO SHIDA YETU .

    ReplyDelete
  8. mmmh!, Garden nzuri , lakini hiyo shule walimu wachache angalia staff team. Halaf watu wote ni wabara, sijaona jina la omari hapo , vipi? Ukerewe baadhi ya watu wanadai kuna racism na huko Bongo kuna udini nini? Jamani au nimeona mimi? Ila si mbaya kuwafundisha watoto computer ila level izingatiwe kulingana na umri.

    ReplyDelete
  9. Na wewe anon wa tatu hapo juu ndio huji abisa. Kiswahili sanifu ni "Kulipu lipua" sio "Kuripua ripua"

    Au wewe ni Mura toka Geshi Ritukufu Ra Porish??

    ReplyDelete
  10. Ninakuunga mkono Mbwegelembwegele, sasa hivi wale tunaowaita wakubwa katika uchumi wa dunia hii wanaongea kichina na wameelekeza vitega uchumi vyao huko China na maeneo ya karibu na China.
    Na habari za wachina ni kwamba wanasambaa dunia nzima kwa kasi kubwa wakiwekeza na kufanya biashara mbalimbali. Nadhani hata kariakoo baada ya miaka michache itakuwa na majority ya wafanya biashara wa kichina.
    Huenda miaka michache ijayo, ukitaka kujenga nyumba ya bei nafuu itabidi uwape makandarasi wa kichina.

    ReplyDelete
  11. Lowasa anaona mbali badala ya kifaransa lugha ifundishwe kichina.

    Tusichelewe soko likifika watoto wetu wasije wakaachwa jamani tumsikilize huyu baba twende na wakati

    Lugha sasa hivi ina market ni kichina

    ReplyDelete
  12. ....we hapo juu umechekesha sina mbavu,geshi ritukufu la porish..hiyo kali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...