Home
Unlabelled
BREKING NYUUUUUZZZZZZZZZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duu huyo jamaa laana ya wadanganyika imeanza kumpata katutolea m2 wetu kule kwenye jumba kama vipi afe tu kwani we michuzi na wadanganyika wenzangu mnaonaje?kwa maoni yangu angekufa tu hana faida
ReplyDeletePamoja na kwamaba anatokea maeneo karibu na NGENDE lakini ngende haikufua dafu mbele ya KIGOMA.
ReplyDeleteUsicheze na Wamanyema wewe!
Nilikuwa nasubiri amekufa. wasaliti wakubwa wa nchi yetu hawa wajamaa. Hawatakiwi watu kama hawa, watu mlo moja taabu bado rasilimali zetu zinatolewa buree kwa wazungu ambao wao wameshaendelea tayari. Hawatakiwi hawa wajamaa ningemfahamu karumanzira wa kuwamaliza ningetumia gharama yoyote niwamalize watu wa aina hii.
ReplyDeleteHalafu michuzi acha kubania maoni yangu. Nami nina haki ya kuchania mshikaji
Du masikini muhidhir nakumbuka siku moja nilialikwa kwenye Sherehe za kuapishwa wabunge wa East africa kwenye 2001/02 ni kiwa kama msichana mdogo sana kuliko wote hapo AICC alikuwa anatuchekesha sanaa yaani anavituko sana nasikitika sana mungu mpe uzima masikini
ReplyDeleteLizzy England
watu inabidi muangalie wakati wa utani na vitu ambavyo vinasikitisha ! namuombea apate nafuuu na mkono uuungine kama wamewahi
ReplyDeleteMsamaria mwema
wewe anoni hapo juu acha ushetani baada yakumuombea mwezio uzima unataka afe basi mungu atabalisha dua yako ufe wewe ama ndugu yako yoyote laana mkubwa we.
ReplyDeleteBUZWAAAAAAAAAAAAAAAAAAGIIIIIIIIIII!
ReplyDeletewe anon wa 2.02 ndio huna maana kabisa na hao ndugu zetu wanaokufa mahospitalini kila siku kwa kukosa matibabu ya uhakika kisa hakuna dawa hakuna vifaa, wakati rasilimali zetu yenye thamani ya mabilioni inapelekwa nje bure iwalishe wazungu na watoto wao. Na huyu jamaa ndiyo yuko mstari wa mbele kupigia debe utaifishaji huo wa madini ili watanzania waendelee kukosa dawa mahospitalini, washindwe kusoma. Yeye ana umuhimu gani kuliko hao wanaokufa? We ndio limbukeni kabisa unajifanya una huruma sana, nenda basi kawahudumie kina mama wajawazito wanaokosa huduma, wagonjwa wanaokufa kila siku, kisa umaskini. Acha unafiki! Hawa wasaliti bora wafe tu, wanawazibia viongozi wazuri.
ReplyDeleteMichuzi leo umeumbuka...tena mchana wa jua kali.....SIJAWAHI KUDHANI WALA KUOTEA KWAMBA KUMBE HAO UNAOWAHIFADHI NA KUWAITA WAOSHA VINYWA NI WAGONJWA WA AKILI!!!Mmwe,...mwe....mtu anatoa maoni utafikiri yuko ndani ya kaburi kimakosa!!!!
ReplyDeleteTumuombee apone kwani sio jambo jema kuombeana mabaya, kile alichotutendea watanzania hakika Mungu atamlipa. Na kama haya ndiyo malipo, basi tumwachie Mungu lakini sisi malipo yetu ni kuikataa CCM na mudhihiri kwenye Kura.
ReplyDeletewadau naomba tuungane kumpa pole huyu baba, pamoja na mapungufu yake lakini yako mema mengi aliyolifanyia taifa hili na hasa wananchi wa jimbo lake. Hta kama kusingekuwa na lolote jema kwake bado hatutakiwi kumuombe mabaya, Mwenyezi Mungu ndio mwenye adhabu ya kila mmoja na wala hatutakiwi kumfundisha kazi. Namtakia afya njema na apone mapema. Ujue hata kama mtu ni adui yako vipi, ni bora umuombee maisha marefu ili baadae aje kushuhudia unavyokatiza matawi ya juu.
ReplyDeleteInasikitisha lakini ndo imeshatokea we can't change the situation... Mungu amjaalie uzima na afya njema...
ReplyDeleteNaomba sana wadau penye matatizo basi tusahau tofauti zetu na kushirikiana, wengi tuna machungu na yale yaliyotokea bungeni na haswa ukizingatia muwasilisha hoja mkuu ni huyu mbunge wa Mchinga ambaye leo hii tunaambiwa amepata ajali mbaya na huenda amekatika mkono, si vyema kumuombea mabaya majeruhi huyu maana bado ni binaadamu na anafeel maumivu kuliko hata sisi tuliofeel maumivu ya kuondolewa kijana wetu pale bungeni.
Mwisho naomba tushirikiane kumuombea huyu ndugu yetu Mudhihiri aweze kupona mapema na arejee kwenye shughuli zake za kawaida.
Mungu awabariki.
Willy
wewe Lizzy wa london uliyekuwa msichana mdogo kuliko wote kwenye sherehe ya kuapishwa wabunge wa EA hujambo? was it really necessary to say you were the youngest? kila mmoja wao alikupa umri wake???, how old are you now? ....ulichekeshwa na nini, vituko gani mzee mzima alikukuna navyo? kifupi ninaomba namba yako..mmachinga1
ReplyDeleteAma kweli adui yako mwombee mabaya!!!!!ahsante aliyesababisha
ReplyDeleteZito nakushauri uwe wa kwanza kwenda kumpa pole. 'Kisasi ni juu ya Mungu'
ReplyDeletewadau msimsingizie zito sio Mwanga kijana wa watu. ila 'mshara wa dhambi ni mauti' machozi ya watu si ya samaki!!
Safi,gari limemnyoosha. Maumivu yake yawe msamaha kwa usaliti wake na wabunge+ viongozi wengine wa nchi hii ya ahadi iliyojaaliwa kila aina ya neema na hali ya hewa ya aina zote duniani,ukitaka baridi ya ulaya nenda kituro,ukitaka joto ibuka dar!.Jamaa wamezidi kutusahau sana sisi localz na kutusaliti,na kukumbazia ze wawekezajiz badala ya ze wawekezaji kutunufaisha kutokana na kukosa kwetu mitaji eti yanawawekea mazingira mazuuri ili yaamishe wealth of our neshino.Wacha tuchane live tu kama wadau itawauma nini nimeshaosha kinywa!Kwani hamkusikia ya yule mbunge aliyeungua kwenye ndege alipodedi jimboni kwake watu walikula pilau na kugonga uwele wakifurahia? Hiyo ni picha na hakika dua la kuku laweza mpata mwewe! Mnabisha? soma hapo juu kwenye BREAKING NYUZI kuhusu mzee wa kuchekesha!
ReplyDeletewewe anoni wa 2:02pm unakoseaaa jamaa wanachapwa hapahapa duniani.Unajua kilio cha wengi hasa wanaodhurumiwa ni sawa na sara na hupenya mawingu haraka sana na majibu yake huja haraka pia,jamaa kiubinadamu kweli anastahili tumwonee huruma lakini wao je wanavyotusaliti wanatuoneaga huruma? KIboko hicho amecharazwa ni bahati mbaya kimemwangukia yeye alitakiwa kimcharaze Kaa la maji!ila wanyonge tunazidi kunung'unika ipo siku tu kitamshukia!
ReplyDeletewe anon wa 2.02 ndo shetani mkubwa,mtu kama huyu anafaida gani katutolea mbunge wetu mwenye kutetea maslahi ya taifa zima!anafaida gani huyu,wewe ndo kama wale waliofurahia kufa kwa mtu kama Amina Chifupa na Sokoine nini?Mungu analipa hapa hapa Duniani na malipo yake yanakuja kitofauti mzee!
ReplyDeleteJamani tuache unafiki! hii ni laana ya watanzania. Watanzania hawafurahii ufujaji wa madini yao jamani! huyu jamaa ndo msukule wa waziri ndo maana alilipua bomu la kumuangamiza zito! sasa na la watanzania limemlipukia!!! Mungu si athumani bana!!!
ReplyDeleteKudadadeki!,
ReplyDeleteNaona Mzuka wa NYEPESI na WADANGANYIKA umeanza kuwatafuna wabaya wake.
Huyu jamaa ndio alisababisha NYEPESI atupwe nje ya JUMBA....
Mi nasema hivi, mahesabu yote hufungwa hapa hapa. kwa mungu ni kuwakilisha 'salio' tu.
Mungu mpe uzima masikini mtu mwao
ReplyDeletempenda watu
Wadau mimi simuombei laani, Mungu amsaidie apone. Ila hiyo ajali ni somo kwa viongozi wote maana mabasi tanapoua raia wa kawaida inaonekana hakuna kiongozi anayejali, kwa hiyo kama viongozi nao wanapata ajali za barabarani naamini serikali italichukulia hilo suala kwa mtazamo mpana.
ReplyDeletePole sana mzee Mudhihir
Mzee wa TBS
Mpende jirano yako kama unavyojipenda mwenyewe....adui yako muombee kila siku na msamehe saba mara sabini!
ReplyDeleteKulalek!Kabwe kwanini unambipu huyu bwana?Si ungemaliza kazi kama ulivyoahidi?Kama ukiona za Kig hazifanyi kazi njoo tukufundushe hapa Sumbawanga-hamna kubip.
ReplyDeleteAnti Comunism.
nilishasema mara kadhaa kwamba watanzania sisi kwa ujumla ni tunautamaduni wa UNAFIKI hasa mtu pale mtu akipatwa na janga
ReplyDeleteutamaduni huo ,USHENZI,ni kwamba tunalazimishwa kusema mazuri na ya kupendeza machoni mwa wajangwa hata kama moyoni hujisikii hivyo.tena mtu akifariki ndio kabisa tunalazimishwa na tamaduni huo kusema mazuri tuu na japo marehemu kwa uwazi kabisa hakuwa perfect na si ajabu kwamba alikuwa na mambo mengi tuu ya kifedhuli na pengine kishawahi kusababisha taabu na hatimaye vifo vya wengine wengi tuu hali akijua either kutokana na madarka aliyonayo au influence fulani aliyonayo
sasa basi mimi maoni yangu japaokuwa nasikitika juu ya ajali hiyo mbaya mudhiri ambaye wala simfahamu ninaomba jamani waacheni watu waeleze hisia zao kwa kidemokrasia na uhuru kama mudhiri kwako wewe ni mwema kwa wengine labda ni mshenzi na shetwan pia jamiiya wazima (wasio wahanga ) kwa kujua ubaya na uzuri kuna faida kwetu nyingi tuu mojawapo ni kwamba tunaweza jifunza mengi yatakayotusaidia kurekebisha muenendo na mstakabali mzima wa maisha yetu mema mimi binafsi nasema pole kwa wahusika
Raceznobar
na mbona bado hiyo ni kigoma -kaskazini vs lindi -Mjinga au mchinga ukipenda
ReplyDeletemaskini huyu atakuwa amebuzwagiwa tu mambo ya kigoma hayo
ReplyDeleteWadau mimi naamini ni ajali ambayo ingeweza kunikuta mimi au hata mtu mwingine yoyote, awe mwema au mbaya...kama ni kwamba huyu mshenzi wa tabia kalipwa na Mungu, je washenzi wengine mbona wanaendelea kula maisha kila siku???including me and you??tujue hakuna aliye sawa mbele za Mungu.
ReplyDeleteIla kitu kimoja, jamaa wamezidi kujiona miungu watu, afadhali yale maajali yote yanayowatokea watanzania yatengwe kwa ajili yao peke yao, bye
Michuzi bana tu, hamna noma, pengine hii itapenya kwa bahati mbaya)
Michuzi bwana hebu naomba unifanyie favour. Hivi haya maoni ya wa-Tanzania hawa wahusika wanayasoma kweli? Kama hawayasomi wala hizi jumbe hawana habari nazo, basi tunapoteza muda bure maana hata tukisema vipi hawawezi kujirekebisha. ningefurahi hasa pale ambapo hata JK anapitia hii blogu. Maana kinachoonekana ni taswira halisi ya wa-TZ bila kuchuja.
ReplyDeleteMimi ninapenda sana watu watoe hisia zao, tuache unafiki, tujifunze kwa wenzetu, tuachane na utamaduni wa unafiki. Eleza hisia zako wazi, kama kitu hukipendi huna haja ya kumfurahisha mtu mwingine eleza ukweli.
Jikumbusheni tu yaliyotokea juzi tu, waziri mkuu wa nchi iliyoedelea sana kama japan anajiuzulu kwa sababu ya uwazi ktk jamii ya japan. na Russia tumesikia.
Haya maoni hata yangeelezwa kwa hisia kali kiasi gani yanaonesha kuwa watu hawakupendezwa kabisa na kitendo alichokifanya Mudhihir, naamini hata watu wa jimbo lake hawakufurahishwa, kwa hiyo wengine wajifunze kuwa wa-TZ hawapendi tabia kama za huyu jamaa. Ndio maan a inaonesha watu wasingesikitikia kifo chake.
Wataalam wamesema ni bora ufe kwa wazo linaloishi, kuliko kuishi kwa wazo linalokufa.
Asante Michuzi kwa blog, maana maoni ya Wadau wote ni kipima joto cha hali halisi ya fikra za wananchi, ijapo ni cross section ndogo. Kama alivyosema anon mmojawapo hapo juu, ingefaa viongozi wa nchi wayaone!!
ReplyDeletei salute ALL ambao wameita SPADE, SPADE...mtu hata YANAPOMTOKEA MABAYA sio tumsifie tuu!...i support anon wa 5:25 na 7:29...yuko mungine kampongeza aliyesababisha!!!...wakubwa ndipo mlipotufikisha hapa!!!...vimishahara vyetu (taxpayers) VINAKATWA kukunenepesheni nyinyi...mnatuboa mpaka mnatufikisha hapa...BOB ZITO MPELEKEE UJI NA MACHUNGWA HUYU JAMAA KABLA HAJAPELEKWA SAUZI
ReplyDelete"WAPENDENI ADUI ZENU NA WAOMBEENI WANAOWAUDHI"
ReplyDeleteDu michu bora umeipiga chini comment yangu, jamaa kweli anatia huruma nimecheki picha yake katika Mwananchi anatia huruma. Nafikiri na wote walioandika comments za kuponda wakiiona watajisikia vibaya. Ndiyo hivyo tena wanasema hujafa hujaumbika, yote ni mipango ya mungu. Jamaa kapoteza mkono masikini, nafikiri alikuwa anawahi kufuturu sijui ila tujifunze overspeeding ni hatari kama gari lilipinduka mara tatu alikuwa kwenye mwendo mkali. Pili kujifunga mkanda ni muhimu sana hata kama unaenda km 1. Jamaa nafikiri belt imemsaidia sana, vinginevyo tungekuwa tunaongea mengine. Naona hakuna haja ya kupelekwa sauz kwani anaendelea vizuri, ila wanaweza kumpeleka ili kumtafutia artficial arm.
ReplyDeletePole sana mzee Hoja (S.59) ila jamani hii haihusiani na Bunge Maana tunaweza kumponza Zitto sasa akatumiwa SCUD kimakosa (Friendly Kipapayu) ohooo!!!!.
Uncle Michuzi,
ReplyDeleteHii ndiyo hali halisi kama unavyoiona watu wanatoa maoni yao....umaskini uliokithiri hapa bongo unasababishwa na akina Mudhihir.
Juzi nilikuwa naongea na mzungu mmoja ambaye ni muwekezaji hapa bongo na akasema hivi, nanukuu..."Ningekuwa na uwezo ningewashawishi wahisani wote wasitishe missada yote kwa Tanzania, kwa sababu Tanzania si nchi maskini kwani ina kila kitu ambacho mtu anaweza akafikiria kipo hapa duniani."....hayo ni maneno ya muwekezaji.
Baadhi ya wananchi bado wanaona kuwa eti tuna viongozi wazuri wa design ya Mudhihir, Lowassa na Kikwete....nasema hivi, kuna siku watu watachukua mtutu na itakuwa mbaya kuliko Rwanda na Burundi....we acha tu!
Mungu ibariki Tanzania!
(Michuzi usije ukaibania hii maana nina hasira kama koboko na hao viongozi)
amm uhh am vere sore...infwact huyu mujaisha alilalamika siku zile zile walivyokaa kama kamati ya CCM wakijadili jinsi walivyomulipua Nyepesi Kabwe......mhishimiwa huyu alilalamika kuwa kila akimpigia simu muhishimiwa karamagi anakuta simu haipatikani wakati ambapo kila mara kabla ya soo walikuwa wanamfuata kumwomba atumie kipaji chake kumulipua Nyepesi.....walipomuuliza Karamagi alidai AAm very sore ni mambo ya shughuli za kiwaziri....
ReplyDeletenadhani hapo aliishachanganyikiwa walipoacha kumkatia kidogodigo chake...yele uuuwwwwwiiiiii.....
ni heri uwe masikini mwenye furaha kuliko kuwa tajiri zulumati...
Mungu mjalie apone kidonda chake...na msamehe zambi zake....nadhani atautumia muda wake uliobaki duniani kwa busara zaidi!!!
mark
Tunaelekea msikitini kumshukuru Allah kwa kumpa kipigo mja wake Mudhihir kinacholingana sawia na usaliti wake.
ReplyDeleteNa tunamshukuru sababu mkono ule alionyoosha kwa spika kutaka mwezie mtetea wananchi afukuzwe bungeni ndio huo huo uliokatika ili asipate tena nafasi ya kunyoosha bungeni.
Njia nzima tunasoma albadiri na badala ya kusema Amin tunasema mudhihir,mudhihir,mudhihir ili albadiri hiyo imkolee barabara.
SAAAAAAAAAAAAAFII.
ReplyDeleteYeye angekuwa anajua kuwa unatakiwa kumwonea mwenzio huruma mbona kwa Zito alishangilia aliposimamishwa bungeni??? Familia ya Zito unaitunza wewe unayejishembedua humu na huruma zako??? Bwana ADUI YAKO MWOMBEE NJAA. Unafikiri wanatakiwa kufa kina nani?Kwani babu yako wa tatu yupo hadi sasa.Kwa hili mimi si mnafiki.Naomba apate maumivu makali kabisa na ikiwezekana ashindwe kabisa kuhudhulia vikao vya bunge kwa miaka yote iliyobaki.Kama vipi serikali si itasafirisha bwana.Shida iko wapi.Bendera za Taifa kibao tu siku hizi.Na wewe michuzi ole wako ubanie maoni haya.
NAKUOMBEA MABAYA MUDHIHIRI.
Majita
Mimi nilijua tu wamanyema watammaliza kwani alikuwa anawafatilia sana Asha baraka alimuonea huruma sasa ameenda kumvaa kabwe kammaliza. pole sana muzihili watu wa bugoi wanatisha.
ReplyDeleteNakiri wazi si kwamba waTz wanamwombea mabaya huyu mheshimiwa. Ukweli ni kuwa hakuna siku nilijisikia vibaya kama huyu jamaa alipotoa ile kauli ya kuomba kumtimua Zitto. Aliitoa kiushabiki na zaidi bila kutumia busara. Ni vigumu kuanza kuwaambia watu wajiunge kuhuzunika wakati nyoyo wa waTz karibu milioni 40 zilizikwa kwa kauli yake.
ReplyDeleteWaswahili wanasema hujafa hujaumbika.Usitukane wakunga, uzazi ungalipo na usimtukane mamba kabla hujavuka mto. Na asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu.
Nawashukuru waTz wenzangu kwa kutoa mawazo nyenye hisia za kweli na sio zenye unafiki. Mudhihir x2 alitumia nafasi yake kukandamiza haki za waTz. a ni vigumu kuanza kutoa kauli za kumwombea mema kwani yeye hakuwa na jema kwa waTz
Habari za kuthibitishwa Mzee wa Nchinga amekatwa mkono wa kulia, kweli kabla huja hujaumbika amelazwa pale MNH...Leo Kabwe ataunguruma pale Jangwani ktk kukamilisha ziara yake lkn amemtumia salamu za pole Mudhihiri, sijui kama ni unafiki au ni toka moyoni. Wadau mtu afanye baya au zuri, ukilema ni ishu kwahiyo msifurahie mtu anatoka kweli hali ya kujitegemea mpaka kuwa tegemezi, try to be on his side...damn!!
ReplyDeletekinachotusibu wabongo wengi ni unafiki!huyu bwana juzi tu hapa tulimshutumu na kumlaani vikali alipomsulubu Mhe.Zitto Kabwe bungeni kuhusu buzwagi,sasa leo amelaanika tunakengeuka na kuanza unafiki wakumuombea,can you guyz shutup you wide mouth and let Almighty God judge upon him!
ReplyDeleteNadhani Viongozi wa CCM na Serikali waje hapa kwa Michuzi na wasome maoni haya ya Watanzania mbalimbali waone jinsi watu walivyochoshwa na kuchukizwa na mambo yanayoendelea Bungeni na hata Serikalini.Watu wengi wameshakata matumani kwa Serikali na Bunge lake. Inatia hasira kuona hawa watu wanaiendesha hii nchi kama mali yao binafsi. Mungu ataanza kuwahukumu hapa hapa Duniani.
ReplyDeleteHawa watu wanakubali kusaini mikataba ya kugawa rasilimali zetu wakati wananchi wanateseka na kufa njaa kila siku. Na siku zote hakuna kitu kibaya kama watu waliokata matumaini, kwani wako tayari kufanya chochote au lolote maana wanajua there is nothing to loose.
Sipendi kabisa unafiki ila ni kweli leo nimefurahi sana hasa baada ya kusikia jamaa amekatwa mkono na hilo naona lilikuwa halitoshi angekatika shingo kabisa hiyo ndo gharama ya ujuha wake wa kututolea kipenzi chetu bungeni.Michuzi funika na hii kama kawaida yako
ReplyDeleteHayo ndo mambo ya Kigoma bwana nani anabisha?Chezeeni wengine tu huko kwenu sisi wa Kigoma ukutuletea shobo tunakurusha na bado there is much more to come hiyo ni trela tu.
ReplyDeleteMudhihir hiyo ndo stahili yako kudadadeki leo nio shampeni tu mpaka asubuhi
ReplyDeletePole kwa maumivu baba. Haya upone haraka, urudi bungeni, ukauonyooshe na huo mkono mwingine afukuzwe mwingine bungeni,,baada ya hapo, na huo ukatwe,,ubakize mdomo tu,,wa kuombea misamaha na wakutumia kurekebisha hali ya nchi...MIKONOZ hiyo jamani, mnaitumia kutia sahihi ambazo ni HARAMU, ndo mwishowe vipapai vinaifikia, inaishia kukatika. MWE..........yaonekana ulikuwa unawahi kukutana na wala nchi wenzio, ndo ukamuambia bwana dereva,JUST SHUT UP AND DRIVE...
ReplyDeleteMa-scud ya Kigoma ni kiboko, hapa ni lazima wataalamu wa Mwandiga na Ujiji walifanya collabo... sasa baada ya Mudhihir atafuata Malechela na ile list nzima ya walioshabikia..
ReplyDeleteNyepesi kama anataka kuongeza nguvu za scud zaidi unakaribishwa huku Sumbawanga tutakupa collabo za Chanji, Lyamba lya Mfipa na Mambwenkoswe nawahakikishia ktk ile list hatoki mtu.. Baada ya kutumbua uchumi wetu sasa ni zamu yenu muondoke mmoja after mwingine.. Watz tuna uchungu
Selfish,selfish,selfish-our leaders. ningependa sana kuona mtanzania mlala hoi akiwa air lifted from lindi au matombo pale anapopata ajali mbaya..They will keep on signing poor contracts as they dont have to suffer the negetive impacts, kama angepelekwa hospitali ya kajamba nani then akahamishiwa Dar kwa basi au Fuso ndo angeona umuhimu wa kupigania maslahi bora, but why should he bother?-mambo yake na familia yake ni safi hata kama serekali inapata 10% from Buzwagi,these guys are only thinking of themselves and their families,what about others? Na cha kushangaza hata uchaguzi ukifanywa kesho-watu wa Lindi watampigia kura-whats wrong with us? we need to wake up. This is another proof kuwa Mungu yupo na malipo ni hapa hapa......
ReplyDeletekitu kimoja wadau mnasahau,siasa basically ni usanii,hata zitto kabwe apewe serikali leo hii atafanya madudu haya haya,na ni madudu wanafanya wanasiasa kote duniani,degree tu ndo ina differ na pia jamii za wenzetu ziko more vigilant.msameheni tu mudhihir na tumwombee mola ampe nguvu za kukabiliana na mtihani huu,afterall naye ana wazazi,watoto,ndugu,jirani kama sisi nao wanampenda,please just feel for them even if you hate mudhihir.
ReplyDeleteI wish you a fast recovery Mheshimiwa.
ReplyDeleteKisha nasema hakuna aliye malaika hapa duniani. Kila mtu lazima ana MABAYA yake na kadhalika MAZURI yake.
Nikakumbuka katika BIBILIA kuna hadithi moja ambapo Bwana JIZAS aliletewa Mwana Mama aliyefumaniwa katika uzinzi na kwamba kwa kuwa adhabu ya kosa hilo ni kupigwa mawe hadi kufa, basi walimuuliza JIZAS kama wampige mawe huyo mama hadi afe.
JIZAS alichofanya ni kuchorachora chini, kuinuka na kisha kuwaambia kuwa:- "YOYOTE MIONGONI MWENU AMBAYE HAJAWAHI KUTENDA DHAMBI/KOSA HATA MARA MOJA, AWE WA KWANZA KUMPIGA JIWE HUYO MAMA"
Nami nawaambia hivyohivyo wale wana bulogi wote wanaomkejeli na/au kumhukumu Mheshimiwa Mudhihir.
Nawasilisha.
Perez huna jipya,sana sana unaosha kinywa tu.
ReplyDeletehey!!! duh huyu mtu mbona hamna jema kwake??? Ni nani huyu??? Unajua mimi mambo ya siasa wala sifuatilli zaidi ya kujua kuwa rais wa nchi yangu ni JK na waziri mkuu ni EL. hata makamu simjui ....well.... nikitaka kugombea ubunge nitwafahamu wote....ila huyu mh....pole zake mbona watu wamempa vidonge vyao hivi....???I hope God amempa second chance to make it right.....
ReplyDeleteGet well soon MR