afisa wa kampuni ya kernel mh. godfrey moshi akimueleza miss universe tz 2007 flaviana matata matumizi ya magwanda maalumu ya wazima moto yanayopatikana kwenye kampuni hiyo ambayo tovuti yake ni http://www.kerneltz.com/. hii kampuni haina mshindano bongo kwa kuuza vifaa vya kuzimia moto toka vya chupa za ndani na nje na viwanedaani na maofisini hadi magari ya kisasa ya faya

Naomba kuuliza....Hivi bongo kila mtu akiwa na cheo ni mheshimiwa? Naona kila nikisoma ni mheshimiwa ...mheshimiwa...au ndio title ya MR, MRS or MS kiswahili?
ReplyDeleteMbona hiyo suti inaonekana kama imetengenezwa na Aluminum Foil?
ReplyDeleteFLAVIANA UKIVAA JOHO KAMA HILO BADO UTAKUWA UNAPENDEZA MPENZI
ReplyDeleteDa haya bwana naona kila mtu siku izi mhishimiwa!! Aisee meku Rombo umeenda lini baba angu? Kwani ZK hupo tena? Msalimie Tasu na tolu muhaya
ReplyDeleteDa haya bwana naona kila mtu siku izi mhishimiwa!! Aisee meku Rombo umeenda lini baba angu? Kwani ZK hupo tena? Msalimie Tasu na tolu muhaya
ReplyDelete