mdau constantine magavilla leo ana ujumbe kwetu sote. mcheki hapa http://www.magavilla.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Way to go Villa! You and your sister Jokate are simply GREAT!

    ReplyDelete
  2. Hogera costa,

    Miaka mingi imepita tangu tuwe pamoja pale mbagala (10years + )

    unakumbuka "morning talk"?

    unamkumbuka masabo?

    Unamkumbuka "Bakuza"

    Unakumbua ya kwamba ulikuwa "headboy wetu"

    Unakumbuka "I believe I can Fly"

    Unakumbuka "debates" and mambo youte ya "public speaking"

    We acha tuu.

    ReplyDelete
  3. I thought is a Kenyan (before website). Thanks for the website. Congrats and keep it up! Where do I get that book?? And how much it cost? I’m living in Arusha.

    ReplyDelete
  4. Hongera kijana, nawashauri graduates wa mlimani na vyuo vingine Tanzania watumie nafasi ya viza za vijana 'working holiday visa' ya kuingia Uingereza ili kupata changamoto na elimu 'duniani' Uingereza ili waweze kupata 'confidence' na 'exposure' kushindana na vijana wa Uganda, Kenya, South Africa katika soko huria la ajira Tanzania(Labour Market). Jumuia ya Afrika Mashariki, Mashirika/makampuni ya kimataifa yana taka vijana waonyeshao competence na capacity to adopt new challenges ktk Dunia ya utandawazi.
    JuniorSenior
    London

    ReplyDelete
  5. Wewe Junior senior, unajua kuwa mwenzio amekaa huko Ughaibuni na kukuchoka; unajua kuwa with more than 10 his accent still has not adopt to the swanglish? hata kama akidanganya kuwa amegraduate from Georgetown University bila kuonesha vyeti;the employer will believe base on English level.There is no more exposure than growing up in a system, as suporse to adopting in a system. He grew up exposed he dont need it again. Now its time for him to share and this is a way he is sharing it.

    ReplyDelete
  6. Anon nakubaliana na wewe huyu jamaa anatisha! Hata akisema katoka Havard juzi hutakataa. Nilikutana naye kwa mara ya kwanza akiwa Mc kwenye mkutano wa wanafunzi International Students Week pale UDSM. Wakati huwo alikuwa Rais wa serikali ya wanafunzi Tumaini University Iringa ambakao alisomea degree yake ya biashara. (BBA) Ana akili kama nini usimuone. Wako watoto wa vigogo walikulia huko Marekani kama yeye lakini bado ni vilaza. keep it up man!

    ReplyDelete
  7. tabu ya vijana wa siku hizi..... wameweka sifa mbele. mchapa kazi hana haja ya kujitangaza.

    ReplyDelete
  8. Mwone huyo anon wa 9.09 akili yenyewe anayoizungumzia ni kuongea Kiingereza, kihiyo wewe kabisa. Kwani huko UK wanawani tuambieni vichaa wao wanaongea lugha gani? Si ndiyo hicho kimombo? Je hata hao vijana wa kiingereza tuwaite wana akili sana? Sitaki ulimbukeni wa kupima akili ya mtu na uwezo wake wa kuzungumza Kiingereza. tuambieni amefanya nini. Amegundua nini. au amechangia kitu gani katika body of knowledge. Mi nimetembelea website yake, articles zilizoandikwa huko ziko below standard kabisa, mpelekee mtaaluma yeyote ukitaka ku-prove.

    sitaki tabia ya kumsifu mtu kwa sababu za hisia zako.

    Michu kama kawa nibanie!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...