Home
Unlabelled
mambo ya ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani wadau wa Ujerumani! namtafuta dada mmoja anaitwa PENDO LAST NAME NIMESAHAU, NI MREFU ANAUMBO LA KIMODO, MWEUSI KWA RANGI. NILISOMA NAE UALIMU MURUTUNGURU UKEREWE ALIOLEWA NA MJERUMANI NA KWENDA KUISHI NAE UKO UJERUMANI. KAMA KUNA MTU ANATAARIFA ZAKE NAOMBA ANITUMIE KUPITIA HII BLOG YA MICHU AU EMAIL ADDRESS: fishervannesa@hotmail.com
ReplyDeleteNITASHUKURU KWA MSAADA HUO BE BLESSED.
wabongo bwana! siku zote ulikuwa wapi mpaka usome tangazo kuhusu Ujerumani kwenye blogu ya Michuzi? Na hatukupi ng'o! Na Ujerumani hatukutaki naona umeshaanza kuji-collide hapa! Wacha sisi tubebe maboksi hatuhitaji msaada wa mtu!
ReplyDeletewewe anon hapo juu! mimi siji-collide kwani nami ni mmoja wa wanachama wa kubeba mabox so donti wore ninahitaji tu nipate kontakti za huyu dada Pendo kama unazo tafadhali unipatie wallahi nitakushukuru sana mototo wewe.
ReplyDelete