mc wanaokuja juu kwa staili yao ya kufanya kazi wakiwa wawili - mc anthony luvanda (shoto) na mc harris kapiga - wakiwa kazini. wakitumia uzoefu wao wa utangazaji katika redio ya praise power 99.20fm, mc hawa wamejizolea sifa sio tu kwa utanashati bali pia kwa kutokuwa na blah blah zinazoboa bali pia kwa kwenda na ratiba mwanzo hadi mwisho wa shuhuli. wanapatikana alamazanyakati@yahoo.com ama +255 0784 484 737 na +255 754 088 461

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...