Home
Unlabelled
mungu kaumba wawili wawili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Upuuzi!
ReplyDeleteHongereni maharusi mmependeza sana!
ReplyDeleteAah huyu ni Patrick wa ME 2003? Hongera kijana umewakilisha vyema, huyo anon wa juu ana wivu binafsi. Hebu tupe picha ya ma waifu kwa mbele ili sisi tuliokosa 'hagi' tuambulie angalau sura! Umewakilisha vijana wa ME naona wengine watafuata, naona Moze yupo tu anazunguka
ReplyDeleteHuyo annony wa 7:21.00am wivu ndiyo unaomsumbua, aliyepata kapata tu we kama umekosa au auliahidiwa ukakosa Polea sa ndugu yangu wivu siyo dawa. Harusi ilipendeza sanasana na harusi walipendeza sana kupita kiasi. Hongereni sana jamani mwenyezi Mungu awatangulie katka maisha yenu ya kila sikuu.
ReplyDeleteISSA WAPE HONGERA ZAO HAO WANANDOA. BASI MPENZI WANGU AKIONA EKSHENI KAMA HIZI, YEYE ANACHOTA TUFUNGE NDOA HARAKAHARAKA, ANANISUMBUA HUYO DU, WE ACHA TU TUTAFUNGA NDOA TU MPENZI NGOJA TUPANGE MAMBO, HAYA MAMBO YA MUNGU INABIDI TUMTEGEMEE MUUMBA KATIKA MIPANGO YETU.
ReplyDeletehongereni sana wapendwa, harusi yenu ilikuwa bomba sana! yaani ilipendeza sana! nawatakia maisha mema yenye furaha na upendo mwingi!
ReplyDeleteAmen.