mojawapo ya kazi kubwa ambazo marehemu godwin kaduma alipigamia na kuhakikisha inatekelezwa akiwa kama mwenyekiti wa chama cha haki miliki (cosota) ni utoaji wa mirahaba kwa wasanii kutokana na matumizi ya kazi zao. hapa ni dokta remmy ongalla akipokea mrahaba wa kazi zake kwa mara ya kwanza toka aanze shughuli za muziki bongo miaka ya 80. hii ilikuwa ni mwaka jana na zoezi hili linaendelea hadi leo
Home
Unlabelled
mirahaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Samahani, Mrahaba ndio nini?
ReplyDeleteMungu amsamehe makosa yake yote aliyoyatenda kwa kutereza (bila kukusudia) alipokuwa hai. Amina.
Mirahaba ni 'Royalties' kwa English.
ReplyDeleteKwa wale waliomwona hivi karibuni, hivi huyu mkufunzi mkuu alikuwa ameacha kuvuta sigara?
ReplyDeleteDinah, mrahaba (royalty) ni malipo kwa author au composer kwa kila nakala ya kazi yake inayouzwa au mgunduzi kwa kila item iuzwayo under a patent.
ReplyDeleteAsanteni kwa kunipatia maana ya mrahaba ila mimi nilitaka kwa kiswahili(hahahhahha)!
ReplyDeleteDuh,Dr Remmy must be beaten with ugly stick.
ReplyDeleteMirahaba ni michuzi
ReplyDelete