mzee wa macharanga charles hilarly (shoto) akipiga stori na mzee mshana wa tvt. soma habari zaidi za mtangazaji huyu mahiri kwa kutembelea www.bongocelebrity.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. MICHUZI , UMEMWAMBIA CHARLES ARUDI NYUMBANI?? TAIFA LINAHITAJI WATANGAZAJI WENYE KIPAWA KAMA CHAKE.
    ANAPOTEZA MUDA HUKO NJE BUREE, ARUDI AJENGE TAIFA LAKE .

    ha ha ha !!!!

    kaka,kama unahasira ibanie hii post .

    ReplyDelete
  2. Mzee Chaaaaaarles (si Chales!) ungebaki Sinza lile ungeshapata kisukari saa hizi !
    Bora umekuja mtoni naona unag'ara tu !
    Keep up the goodworks kakaangu

    ReplyDelete
  3. Wee annon unayemwambia Charlzzz arudi bongo kutafuta nini??Eti kujenga Taifa,taifa lenyewe hilo halijengeki kila leo watu wanakula pesa kwa mikataba fake.Charlzz baba jilie vitu vyako ndani ya the great London,nchi wataijenga wao......na utajenga kwa Queen

    ReplyDelete
  4. kaka endelea kukaa hukohuko, UPONE NA WANGA,,watu wanakatana mikono huko africa..ndo kama hivyo, ukileta za kuletwa, na wewe unaletewa vilevile,,so kauka hukohuko, bongo njoo likizo, kwa umri wako, kaa huko, upone na magonjwa yasiyo na mpango, upate huduma nzuri za kiafya etc,,ukishazeeka sana labda ndo uje, ila kabla ya kuja UJIKINGE, maana watu na shughuli ya kukatana mikono (Muhidhir degign) hawaachi waafrica, we si wawajua..

    ReplyDelete
  5. Bro Michu usiwachimbe hawa wazazi wenza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...