miss universe tz 2007 flaviana matata akila pozi na manekwini zioneshazo suti za askari wa zimamoto kwenye jengo la kampuni bingwa wa bidhaa za kuzimia moto ya kernel mtaa wa ursino. yeye anasema paamoja na ulimbwende anataka kuwa mhandisi wa umeme na mambo kama haya ambayo yanahusiana humvutia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nilizania zimamoto iko chini ya serikali? Kwanini nguo zao zinunuliwe tu mitaani? Nguo za polisi, jeshi na mgambo zinauzwa madukani pia???? I wonder why???

    ReplyDelete
  2. ULIMBUKENI! ULIMBUKENI!
    Kwani mpaka hayo magwanda yavalishwe 'madoli' ya kizungu? Mbona hata dizaini ya watu weusi yapo? Tutaendelea kuwapigia magoti hao wakoloni mpaka lini? Kwa nini hatujivunii rangi ya ngozi yetu? Kumbuka 'black is beautiful'

    ReplyDelete
  3. kernel ni kampuni ya Johnson Lukaza

    ReplyDelete
  4. Suti za zimamoto tunazo....maji ya kuzimia huo moto yakowapi? Kwanini wasiuze na ndoo za kuchotea maji? bongo bwana....!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...