mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano profesa john s. nkoma akimtunuku leseni afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya kisasa inayotoa huduma za mawasiliano ya mtandao wa intaneti isiyoungnaishwa na waya iitwayo wia mh. eric b. mwenda muda mfupi uliopita.anayefurahia kwa pembeni ni mh. mugasa mwenda, meneja wa maendeleo ya biashara ya kampuni hiyo yenye makao yake kwenye ghorofa ya pili jumba la benki ya barclays mtaa wa ohio. wia inashirikiana na motorolla katika vifaa na pia teknolojia ya canopy inayotumika nchi nyingi kwa mtandao wa fasta fasta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Haya na mugasa nae vipi mambo yamekuwaje umevuta shavu hivyo mambo mazuri sio erick sasa ujana umemwisha afadhali du eheee kila raheli wandugu

    ReplyDelete
  2. Tizii siku hizi kila mtu jina linaaanzaaa na mh.?
    alexandria,VA

    ReplyDelete
  3. Kama Michuzi hebu niulizie, huyu kijana Alex ameoa ama bado uniunganishie? Kama bado Michuzi fanya kweli basi, mwambie anicheck kwenye Voda akinikosa basi ajaribu Tigo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...