waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa rais (mazingira) profesa mark mwandosya (shoto) na waziri wa sheria na katiba dk. mary nagu wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya bariadi mh. baraka konisaga wakiongea baada ya mkutano wa hadhara leo huko bariadi katika moja ya ziara za mawaziri kutembelea kila kona nchini kuelezea wananchi juu ya bajeti ya mwaka 2007/2008 pamoja na kuhimiza maendeleo
Home
Unlabelled
bariadi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michuzi, mbona Mzee Makamba hapo kati kati umemsahau?
ReplyDeleteHAWAKUZOMEWA???!!...mana siku hizi tumefikia kuwazomea!!...we have had enough...kuna siku moja WAZIRI MKUU ngoma ikawa nzito akasema "SHAURI YENU WENYEWE NA MBUNGE WENU"!...if i am not mistaken it was in longido or monduli...whatever
ReplyDeleteyani huko ndio nyumbani kwetu wantuzu.....
ReplyDeleteMWASEKE EEE ALIYEZOMEWA NI MHESHIMIWA ERNEST MABINA MBUNGE WA
ReplyDeleteGEITA-MWANZA NA SI VINGINEVYO REJEA
http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2007/09/24/99021.html
MIMI NAONA SAFI SANA DAWA NI HII
KAMA MTU ANAJISAHAU WAJIBU WAKE.NA
WEWE MISUPU UKIOGOPA KUTOA HII
NTAKUONA BONGE YA MUOGA