
jk akiwa na (toka shoto) mh. janeth kahama, mh alnoor kassum, mama kassum na mh. george kahama leo ikulu alipozindua kitabu kiitwacho 'africa's wind of change' kilichoandika na mh. kassum ambaye ni mmoja wa mawaziri waliokuwa kenye kabineti ya awamu ya kwanza. ukitaka kuona picha zaidi nenda http://haki-hakingowi.blogspot.com/
UNA NI BORE SANA LEO MICHUZI COMMENT ZANGU ZOTE UMEGOMEA NA WALA SIJAMTUKANA MTU POA
ReplyDeleteNawaona Macomrade wa Malkia na shemeji wa marehemu. Vipi dada yake Canada hajambo? Nikimuona Prof. Kassum sura yake namkumbuka sana dada yake jinsi alivyowaendesha puta marehemu Cardinal Rugambwa na Mzee wa UNIP Keneth Kaunda mwenyewe.Faizar Hakh
ReplyDeleteKumbe Mzee Kassum bado yu hai!
ReplyDeleteEeh bwana wazushi si walisema Kassum amefariki na kuzikwa Kanada?
ReplyDeleteIngawa mhindi ni mhindi, lakini usichanganye kati ya Jamar na Kassum. Aliyezikwa Kanada ni Jamar na sio Kassum.
ReplyDeleteFazar