bongo jamani kutamu. cheki hata aboubakar liongo keshapitisha siku za likizo kwa kufakamia supu ya ulimi pale break point kila kukicha na kukutana na washkaji kibao kama kina gadna habash hapo juu kila kona

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Supu ya ulimi!!!? Eeeeeuwh mimba yangu itatoka jamani!!

    ReplyDelete
  2. HATA MIMI NIKIJA NADHANI NITA OVERSTAY KAMA LIONGO, NIME MISS HOME KINOMA . ....wazungu wenyewe wakija kutembea Bongo , wanasema wangependa kuinjoy zaidi. Maisha ni rahisi, watu wako friendly .

    Tatizo wengi wetu ni maskini, so hatuenjoy maisha ya supu kama hivyo.

    ReplyDelete
  3. Aisee supu ya Ulimi! Mi nipo London na naimiss sana hii....natoka kupasha kiporo cha wali wa jana ndio nakula baada ya kuamka nazo...bongo ningepata ulimi, kongoro, mkia...balaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...