Uongozi wa jumuiya unapenda kuwatangazia Watanzania wote waishio Virginia,Washington Dc na Maryland kuwa kutakuwa na mkutano mkuu jumamosi Novemba 3,2007 saa 8:30 mchana ( 2:30pm ), pamoja na mambo mbali mbali pia mkutano utajadili ajenda ya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao na Taarifa ya uongozi.
Wanachama na watanzania wanaoishi maeneo hayo mnaombwa kujitokeza kwa wingi kuhudhuria mkutano huo muhimu ukiwa na ada yako ya mwezi dola $ 10.00 tu.
Kwa wale watakaohudhuria tafadhali tuma jina lako kwa email amalinda3@hotmail.com.
au piga simu zifuatazo :
Yassin Njayagha - 301 379 0693
Yassin Njayagha - 301 379 0693
Augustino Malinda - 240 338 4917
Ombye Nyongole - 240 462 9799
Mayor Mlima - 301 806 8467
Said Mwamwende - 301 661 6994
Baraka Daudi - 301 792 8562
Belinda Mlingo - 202 234 3139
Mkutano utafanyika
Hyattsville Elementary school
5311
43rd Avenue
Hyattsville,
MD 20781
Tangazo hili limeidhinishwa na uongozi wa Jumuiya ATC _ METRO.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...