HABARI ZA UHAKIKA ZILIZOTUFIKIA SASA HIVI NI KWAMBA MFADHILI MKUU WA YANGA YUSUF MANJI KAACHIA NGAZI.
KWA MUJIBU WA BARUA ALIYOITOA LEO MANJI AMETAJA SABABU ZA KIFAMILIA KAMA KIKWAZO KWA YEYE KUENDELEA KUIFADHILI KLABU HIYO YA JANGWANI, NA KAITAKIA MEMA HUO MBELENI.
WAKATI HUO HUO MWENYEKITI WA YANGA IMANI MADEGA AMESEMA USIKU HUU KWAMBA KLABU HAINA HABARI NA KUBWAGA MANYANGA KWA MANJI KWANI HAWAJAPATA TAARIFA RASMI. ILA AMESISITIZA KUWA ENDAPO KAMA NI KWELI YANGA ITAENDELEA KUWA IMARA.
Kwani hiyo familia hakujadili nayo alipoingia kwenye ufadhili? Aaache uongo wake kama pato limepungua aseme ni mambo ya kawaida hatakuwa wa kwanza. Alijidai mwanaume kushindana na Mengi akaingia Yanga kutafuta umaarufu ameona hakuna anaye mjali anasingizia familia. Watu wengine bwana sijui kwanini wanatufanya watoto wadogo.
ReplyDeleteNa hizi timu za Bongo kutafuta watu wenye interest binafsi ndio zinawaponza timu zinadumaa
Yanga Taifa kubwa wengi wameachia ngazi lakini bado inadunda, Sio kama simba wanaotegemea Wahindi
ReplyDeleteMdau
hiyo ndio bongo bwana, ishu yake na nssf imetulia sasa anaona yanga kitu gani.....Michuzi tunaomba picha siku atakayopewa ruhusa kubomoa salamander..
ReplyDeleteWajua nini? Ili pawepo na maendeleo lazima pawe na uongozi bora,watu pamoja na rasilimali(nionavyo mimi) Yanga,pia Simba zinawanachama na mashabiki lukuki Tanzania lakini bado hazina maendeleo,na hii ni kutokua na uongozi bora.Tutaishia kutukanana na kulumbana lakini kama vilabu vyetu havitofikia upeo wa kujiendesha kibiashara hali itakua hivix2 miaka nendarudi.Na hata hao tunaowaita wafadhili huja kwa maslahi yao tu nakisha wanaishia zao.Kwa timu kama yanga kutegemea wafadhili kama hawa ni upuuzi tu,wana jengo mjini uwanja upo mjini tena klabuni kabisa hivi kama viongozi wanaamua kweli tunaleta mapinduzi wanakusanya michango wanauza hisa,wanafanya minada ya kukusanya fedha uwanja unajengwa,jangwani panageuzwa shopping centre pale si wanafikia hatua ya kina Al ahly kabisa.M naimani Kaduguda na wenzie Simba pale kama hawaleti longolongo yale malengo aliyoyasema kaduguda yanafikiwa kabisa.Ni aibu hadi leo hii uwezi kuipata jezi ya Yanga au Simba yenye ubora wa juu(sio yale mazabe kama abibas!) katika maduka yanayomilikiwa na timu hizi! Simba mashabiki huvaa jezi za Liverpool,Arsenal au Manchester,Yanga huvaa za Brazil(sijui na Villareal?) jamani wawezesheni hawa wavae rangi zao.
ReplyDeleteNadhani pesa ya kuchezea na udhamini alikuwa napata toka kwa baba yake au marafiki wa baba yake.
ReplyDeleteSasa baba yake amefarikikwa hiyo hana tena pesa hiyo ya kupoteza amabyo kimsingi ilikuwa inatoka kwa baba yake.
Haya ni mawazo yangu, na najaribu KUFIKIRI KWA SAUTI tu. Msinioshee vinywa.
alikuwa anataka umaalufu basi keshapata hawa makabacholi wabaya sana ndio maana iddi amin aliwatimuwa uganda
ReplyDeleteNYINYI ENDELEENI NA UZEMBE NA UBABAISHAJI TU.SASA NONDA SHABANI
ReplyDeleteANAKIPIGA NA GALATASARAY YA UTURUKI
NA JUZI KTK MECHI YA WATANI WA JADI
BESIKTAS ALIONYESHA BADO YUMO WAMO
KINOMA.SASA WAKIANGALIA PROFILE YAKE WAKAONA YOUNG AFRICANS NDIO
TIMU YAKE YA KWANZA.AAAH HAWA YOUNG
AFRICANS WAPO WAPI? TANZANIA....
WENZETU HAWAPENDI UBABAISHAJI
WAKIJA WAKAKUTA MNAENDEKEZA UBABAISHAJI KAMWE USITEGEMEE WATACHUKUA MCHEZAJI HAPO.LA HASHA
WATAENDA ZAO KWINGINE.MTABAKI NA
KUPIGA KAMBI BAGAMOYO KWA BABU,NA
KUTOA WATU MAKAFARA ILI MSHINDE
NG'O MAFANIKIO YA KWELI ASLAAAAAAAAAAA HAMPATI