msanii henry galinoma ameshakamilisha kurekodi cd yake mpya na Mpangilio wa nyimbo katika CD ni kama ifuatavyo;
1. SAMAHANI.
2.MWAMY.
3. SIASA.
4. TUTURA TUTURA.
5. KWANINI?
6. UMRI MDOGO.
7. MASHUJAA.
8. MAPENZI SIO UCHAWI.
9. NANI KAMA MAMA?
10. MAMA YO YO.
Nyimbo ya 'Samahani' ndio iliobeba jina album na sasa yuko bize katika kutengeneza clip n mambo yakikamilika atatufahamisha. Nimesikiliza cd yake kwa kweli jamaa anatisha. ukitaka nakala wasiliana naye
Henry Galinoma
Jina la kisanii : Buti jiwe
Address : Tulpen straat 13
9521 CX
Nieuw Buinen.
Nederland.
telefhone: 0031- 641-91-5522
E-mail : bu.ti.jiwe@hotmail.com :
hongera kaka galinoma,kwani hiyo albamu tulikuwa tunaisubiria tangi 2002,na sasa imeivaa.si mchezo.
ReplyDeleteenzi yake alikuwa mwanariadha hodari wa mbio fupi kumbuka "opresheni bayi" ambayo sijui imeishia wapi
ReplyDeleteHongera sana bro galinoma kwani ulitunyima raha kwa muda mrefu nafikiri sasa umetumbuka mashabiki wako na tunaisubili kwa hamu kubwa hii album ingine sokoni tuweze kujivinjari nayo.
ReplyDeleteBwana Galinoma, tulikua tunahamu kubwa ya kusikiliza nyimbo zako, lakini hatujui jinsi ya kuzipata,
ReplyDeletevipi mbona azipigwi kwenye radio za hapa nyumbani, ulikwisha walete au ndio wewe na radio za ulaya, unatuponda wabongo wenzia.
Fanya juudi tuzisikie.